Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekta binafsi, umma zatakiwa kutumia fursa

WADAU wa sekta ya umma na binafsi mkoani hapa, wametakiwa kutumia fursa zilizopo kujiimarisha kibiashara na kutoa maendeleo. Mkuu wa Mkoa huo, Kapteni Mstaafu Assery Msangi, alitoa rai hiyo hivi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais Utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa amesema kuna umuhimu wa kuongeza ushirikiano baina ya Serikali na sekta binafsi ili kukuza kampuni kubwa zenye ufanisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Sekta za umma, binafsi nchini zahitaji mkakati

Sekta binafsi inatakiwa kushirikishwa kikamilifu katika utekelezaji wa mpango wa pamoja wa ushirikiano baina yake na sekta ya umma (PPP), ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake.

 

10 years ago

Habarileo

Katavi wahimizwa ushirikiano sekta ya umma, binafsi

MPANGO wa ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPP) umetajwa kama chachu muhimu itakayosaidia katika ukuaji wa maendeleo ya kijamii na uchumi wa mkoa mpya wa Katavi.

 

5 years ago

Michuzi

Majadiliano Sekta ya Umma na Binafsi Chachu Ukuaji wa Uchumi


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge (kulia) pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa, Dkt. Godwill Wanga (kushoto) baada ya uzinduzi wa Muongozo wa majadiliano kati ya sekta ya Umma na Binafsi katika ngazi ya Mikoa na Wilaya uliofanyika leo jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake waaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari.

 Mkurugenzi wa Usalama wa Mazingira Majini Bw. Tumpe Mwaijande kutoka Wizara ya Uchukuzi kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka akiongea na wajumbe wa Umoja wanawake walio katika Sekta ya masuala ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaofanyika jijini Dar es salaam.  Mkurugenzi Msaidizi kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Mambo ya Bahari (IMO) Pamela Tansey akiwasilisha mada wakati wa ufunguzi wa mkutano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wameaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari

001

Mkurugenzi wa Usalama wa Mazingira Majini Bw. Tumpe Mwaijande kutoka Wizara ya Uchukuzi kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka akiongea na wajumbe wa Umoja wanawake walio katika Sekta ya masuala ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaofanyika jijini Dar es salaam.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wanawake wameaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari kwa kupata elimu na mafunzo ya sekta hiyo ambayo ni msingi...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yawaasa wateja wake kutumia fursa zilizopo katika sekta ya gesi nchini

  BENKI ya Exim imetoa wito kwa wateja wake kutumia vyema fursa ya ugunduzi uliopo katika sekta ya gesi  nchini kwani ina uwezo wa kubadilisha muundo wa uchumi uliopo na kujenga uchumi mpya uliojengeka katika utegemezi wa gesi asilia ambao utakua na matunda makubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya kibenki na biashara.
Wito huo ulitolewa na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa benki hiyo, Bw. Dinesh Arora wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani