Sentensi za Madee alivyomjibu Afande Sele kuhusu kushoot video South Africa……
Ni stori iliyoanza kuchukua headlines kuanzia Dec 23 ambapo mkongwe wa muziki, Afande Sele alipohojiwa na mtandao maarufu na kusema ‘Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri’ kauli hiyo imeonesha kumkera Madee ambaye alimtaka aombe radhi kwa wasanii wenzake. ‘Unajua yale ni matusi kwenye muziki kwenye Bongo Fleva halafu watu kama Afande Sele ndio waanzilishi […]
The post Sentensi za Madee alivyomjibu Afande Sele kuhusu kushoot video South Africa…… appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Dec
Madee amdiss Afande Sele, ni baada ya kuwaponda wanaoshoot video South
![afande 2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/afande-2-300x194.jpg)
Kauli ya Afande Sele kuwa wasanii wanaoenda kushoot video zao Afrika Kusini wanafanya biashara za siri, haijamuingia vyema hasimu wake wa muda mrefu, Madee.
Bongo5 iliongea na msanii huyo mkongwe wiki hii na kudai kuwa haoni sababu ya maana wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi.
“Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” alisema.
“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima,...
9 years ago
Bongo523 Dec
Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri – Afande Sele
![Afande-Sele-nzuri_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/Afande-Sele-nzuri_full-300x194.jpg)
Afande Sele amedai kuwa anawashangaa wasanii wanaoenda kushoot video zao nje ya nchi wakati Tanzania ina kila kitu.
Rapa huyo mkongwe aliyekuwa kimya kutokana na shughuli za kampeni, ameiambia Bongo5 kuwa anaamini wasanii wanaosafiri kwaajili ya kushoot video nje, wana bishara zao za siri.
“Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” amesema.
“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima, mbuga,...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Ni Afande Sele, Alikiba, Juma Nature, Ferooz kwenye video zao enzi hizo……(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo. Ninazo video 5 zilizokuwa zikitambata enzi hizo.. Afande Sele ft Ditto –Darubini kali Mez B ft Ray […]
The post Ni Afande Sele, Alikiba, Juma Nature, Ferooz kwenye video zao enzi hizo……(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/knteGCvZSdU/default.jpg)
9 years ago
Bongo527 Oct
Chege atua South kushoot video na Justin Campos
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeAxtPSh-axbmc1fqJvtD-NLuEyd1XImUfABKpoawOyDF9H6V48Rdd7wDLebyAy8FgqHr2v42nlCEpHnDJzJrwZ8/afande.jpg?width=650)
MASKINI AFANDE SELE
9 years ago
Bongo529 Oct
Christian Bella na Alikiba wamaliza kushoot video ya ‘Nagharamia’ South
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele