Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri – Afande Sele
Afande Sele amedai kuwa anawashangaa wasanii wanaoenda kushoot video zao nje ya nchi wakati Tanzania ina kila kitu.
Rapa huyo mkongwe aliyekuwa kimya kutokana na shughuli za kampeni, ameiambia Bongo5 kuwa anaamini wasanii wanaosafiri kwaajili ya kushoot video nje, wana bishara zao za siri.
“Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” amesema.
“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima, mbuga,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Sentensi za Madee alivyomjibu Afande Sele kuhusu kushoot video South Africa……
Ni stori iliyoanza kuchukua headlines kuanzia Dec 23 ambapo mkongwe wa muziki, Afande Sele alipohojiwa na mtandao maarufu na kusema ‘Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri’ kauli hiyo imeonesha kumkera Madee ambaye alimtaka aombe radhi kwa wasanii wenzake. ‘Unajua yale ni matusi kwenye muziki kwenye Bongo Fleva halafu watu kama Afande Sele ndio waanzilishi […]
The post Sentensi za Madee alivyomjibu Afande Sele kuhusu kushoot video South Africa…… appeared first on...
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Afande Sele: Wanaonipiga zengwe wana hofu nitawashinda
AKIWA katika maandalizi ya kuanza harakati za kuomba kura kwa wananchi wa Morogoro Mjini anapogombea nafasi ya ubunge mkoani humo, mkali wa hip hop nchini, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, amejikuta akiwekewa pingamizi lenye madai kwamba hajui kusoma na kuandika.
Afende Sele alisema ameshangazwa na pingamizi hilo lisilo na maana katika siasa kwa kuwa haliwashtui wapigakura wake kwa kuwa wanamfahamu vizuri ngazi zote za shule alizopitia.
“Nimeshangazwa nilipoitwa kwa mkurugenzi Manispaa ya...
9 years ago
Bongo524 Dec
Madee amdiss Afande Sele, ni baada ya kuwaponda wanaoshoot video South
![afande 2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/afande-2-300x194.jpg)
Kauli ya Afande Sele kuwa wasanii wanaoenda kushoot video zao Afrika Kusini wanafanya biashara za siri, haijamuingia vyema hasimu wake wa muda mrefu, Madee.
Bongo5 iliongea na msanii huyo mkongwe wiki hii na kudai kuwa haoni sababu ya maana wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi.
“Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” alisema.
“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeAxtPSh-axbmc1fqJvtD-NLuEyd1XImUfABKpoawOyDF9H6V48Rdd7wDLebyAy8FgqHr2v42nlCEpHnDJzJrwZ8/afande.jpg?width=650)
MASKINI AFANDE SELE
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele
11 years ago
GPLMKE WA AFANDE SELE AZIKWA MOROGORO
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Afande Sele amnadi mgombea udiwani
MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzi alimnadi mgombea udiwani wa Kata ya Tungi, Juma Tembo (CHADEMA), kwa falsafa yake mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIkN92QmhYmeVtld3ADmCK0WMZjDCG9ouV5pBWoXf5eVprwZXG0B3gAgJiWgX1eaFS3rQngHlIaXJHEN9jMQnj0i/AFANDE.jpg)
AFANDE SELE AZIMIA AKIMZIKA MKEWE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-T5d6ReEQFFNKQIWZIo9c58fzc6xoqCwI16vepRlo9PR77UH*tJZc*FcqkFQZonolVh7BWrBsg1H8qNgdqVkwlcnm-*cwS0o/BREAKINGNEWS22.gif?width=500)
MKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA