Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sera yataka kuanzishwe ‘Ewura’ ya ada za shule

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa Sera ya Elimu ya Taifa pamoja na uzinduzi wa vyumba vya maabara katika shule ya sekondari Majani ya Chai Kipawa, Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa. (Picha zote na Mroki Mroki).SERA mpya ya Elimu na Mafunzo ya 2014 iliyozinduliwa jana Dar es Salaam na Rais Jakaya Kikwete, imeelekeza kuanzishwe kwa taasisi ya udhibiti wa ada za shule.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TPSF yataka kauli sera kuboresha uchumi

IMEELEZWA kuwa mchango mkubwa wa kisera katika uchumi unaofanywa na sekta binafsi unastahili kukuzwa kwa manufaa ya sekta na taifa kwa ujumla.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi shule binafsi Januari

ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi shule binafsi tayari

TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.

 

9 years ago

Mwananchi

Ada elekezi kufunga shule binafsi

Uamuzi wa Serikali kuandaa ada elekezi kwa vyuo, shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na watu binafsi au mashirika ya dini, unatarajiwa kuwaweka wamiliki wake katika wakati mgumu na huenda ukawa mwanzo wa mwisho wa baadhi ya shule.

 

9 years ago

Habarileo

Marufuku shule za binafsi kuongeza ada

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepiga marufuku shule binafsi kuongeza gharama za uendeshaji wa shule, zikiwemo ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia mwezi Januari mwaka ujao mpaka watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kufuta ada shule za kata

KAIMU Ofisa wa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Pwani, Dismas Chuwalo, ameishauri serikali kufuta ada ya shule za sekondari za Kata ili wahitimu wote wanaochaguliwa waweze kujiunga na shule hizo....

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi kwa shule binafsi Desemba 15

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wazazi na walezi wenye wanafunzi wanaotegemea kuanza masomo au kuendelea na masomo katika shule binafsi mapema Januari mwezi ujao, kuvuta subira hadi Desemba 15, mwaka huu serikali itakapotoa maelekezo mbalimbali ikiwemo suala la ada elekezi.

 

10 years ago

Habarileo

Kero ya ada shule binafsi zatafutiwa tiba

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne KilangoSERIKALI imetangaza kumpata Mtaalamu Mwelekezi, ambaye ameanza kazi jana kuangalia suala la ada elekezi katika shule binafsi nchini.

 

9 years ago

Mtanzania

Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

Prof-MchomeNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

SERIKALI imepiga marufuku wamiliki wa shule binafsi kupandisha ada kuanzia Januari mwakani.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kutoa tamko la kufuta ada na michango mbalimbali kwa shule zake za msingi na sekondari.

Taarifa ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, profesa Sifuni Mchome, imepiga marufuku shule hizo kuongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia  Januari 2016 hadi hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani