Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kufumua sheria 29, zimo za ndoa, mirathi

Angellah KairukiSERIKALI imesema iko katika mchakato wa kufanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Kurekebisha sheria kwa sheria 29 kandamizi zikiwemo za ndoa na mirathi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakiri sheria ya ndoa ya 1971 haifai

DSC_0104

Mgeni Rasmi katika utambulisho wa kampeni ya kitaifa kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe,  akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa kufanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

.Wadau watambulisha kampeni ya kupambana tatizo la ndoa za utotoni

Na Mwandishi Wetu, MOblog Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imekiri kwamba Sheria ya Ndoa ya 1971 ni...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: WATOTO WA MAREHEMU, MKE/MME, WAJUKUU.N.K HUGAWANAJE MIRATHI

Na   Bashir     Yakub.
Mara nyingi  nimeandika  kuhusu  mirathi  lakini  zaidi  nimegusia habari ya usimamizi  wa mirathi . Leo  nimeona  ni muhimu  kueleza  mgao  wa mirahi  kwa kuangalia nani anapata  nini kupitia  Sheria ya mirathi ya serikali. Fuatana  nami.
( A ) MGAO UKOJE  IKIWA  MUME  AMEFARIKI  AKAACHA  MJANE, WATOTO  NA  NDUGU ZAKE.
Kama mume  amefariki  na akaacha mjane na watoto basi moja ya tatu ( 1/3) ya mali  za marehemu  zilizo kwenye mirathi anatakiwa apewe mke wake. Mbili ya...

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.



Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna  ya kisheria ya kuepuka  kununua nyumba/viwanja  vyenye  migogoro kwakuwa  migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua  vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi  na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha  mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja  zinatofautiana. Tofauti kubwa  ni za kisheria hasa  namna ya uandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwepo  na utata  mkubwa  kuhusu  urithi  wa  mali  za  marehemu  hasa  inapotokea  kuwa  marehemu  alikuwa  na  mke   zaidi  ya mmoja  na  hapohapo  watoto  wanaotokana  na  mama  tofauti.  Tumeshashuhudia  magomvi  makubwa  misibani   lakini  pia  tumeshuhudia  na  tunaendelea kushuhudia  utitiri  wa mashauri  kuhusu  mkanganyiko  wa  mali za marehemu ambaye  familia  yake  ni  ya watoto  wanatokana  na  mama  tofauti. Kutokana  na  hayo  kuna umuhimu  mkubwa  wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MIRATHI ZA WATOTO WADOGO NA WASIO NA AKILI TIMAMU HUSIMAMIWA NA NANI KISHERIA?

Na  Bashir  Yakub.
Suala  la  mirathi  popote  linapotokea   hutokea  iwapo  kuna  mtu  amekufa  na   ameacha  mali  . Mtu  akishakufa  akaacha  mali  hata  kama  hakuna  ndugu wa kurithi  suala  la  mirathi  lazima  liibuke.  Huibuka kwakuwa  lazima  zile  mali  ziende  pahali  iwe  kwa  mtu  au  kwa  mamlaka. Hata  hivyo  suala  la  mirathi  huibua  hisia  zaidi  hasa  panapokwa  hamna  wosia.  Marehemu  asipoacha wosia  lakini  akaacha   mali  mambo  huwa  sio  mepesi  sana labda  iwe...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MIRATHI ZA WATOTO WADOGO NA WASIO NA AKILI TIMAMU HUSIMAMIWA NA NANI KISHERIA ?

Suala  la  mirathi  popote  linapotokea   hutokea  iwapo  kuna  mtu  amekufa  na   ameacha  mali  . Mtu  akishakufa  akaacha  mali  hata  kama  hakuna  ndugu wa kurithi  suala  la  mirathi  lazima  liibuke.  Huibuka kwakuwa  lazima  zile  mali  ziende  pahali  iwe  kwa  mtu  au  kwa  mamlaka. 
Hata  hivyo  suala  la  mirathi  huibua  hisia  zaidi  hasa  panapokwa  hamna  wosia.  Marehemu  asipoacha wosia  lakini  akaacha   mali  mambo  huwa  sio  mepesi  sana labda  iwe vinginevyo....

 

10 years ago

Dewji Blog

Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini

x

Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni  kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog.com

Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...

 

10 years ago

Michuzi

KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI

Na  Bashir  Yakub.
Mara  kadhaa kwenye  familia  mbalimbali   kumekuwa hakuna  maelewano  juu  ya  nani  asimamie  mirathi. Unakuta  wapo  wanaomkubali  fulani  asimamie  na  wapo  wanomkataa  wakimtaka   fulani  mwingine  ndiye  asimamie.  Hii   huwa  na  athari  kubwa sana  kwa  warithi  hasa  watoto  kama  wanasoma  ambao  kimsingi  hutakiwa kutumia mali  zile katika  mahitaji  ya  msingi  kama  ada  na  mahitaji  mengine muhimu ya  kiustawi. 
Tumeshashuhudia  mara  nyingi  watoto  wakiacha...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI

Na  Bashir  Yakub
Hapa  kwetu  Tanzania  tunazo  ndoa za  aina  kuu  mbili. Kwanza  tunazo  ndoa  za  kiraia au  kiserikali, na  pili  tunazo  ndoa  za  kimila. 
Ndoa  za  kiraia  au  za  kiserikali   kama  zinavyojulikana kwa  wengi  ni  zile  ambazo  hufungwa chini  ya  usimamizi  wa  mamlaka  za serikali  kama  ofisi  ya  mkuu  wa  wilaya n.k.  Na  kwa upande  wa  ndoa za kimila    hizi  ni  zile  ambazo  hufungwa  kutokana  na  taratibu  za  watu  wa  kabila  au  koo  fulani  kwa  mujibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani