Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kumalizia miradi ya ujenzi wa shule

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema itaendelea na kutekeleza sera ya elimu ya kusaidia na kumaliza ujenzi wa majengo ya miradi ya shule zinazojengwa na wananchi au taasisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MFUKO WA LAPF WATOA MSAADA WA RANGI ZENYE THAMANI YA SH.MILIONI 3 KUMALIZIA UJENZI WA MAABARA YA SHULE WILAYANI ULANGA

Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Mfuko wa LAPF, Yesaya Mwakifulefule (wa pili kushoto),  akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro,  Christina Mndeme, msaada wa rangi zenye thamani ya sh. milioni 3 kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa maabara katika shule za Ulanga Mashariki.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATOA BILLIONI 15 KUMALIZIA UJENZI HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE MARA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa kiasi cha shillingi Billioni 15 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyojengwa kwa miaka 40 bila kumalizika.
Haya yamebainika wakati wa ziara ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi katika hospitali hiyo kujionea maendeleo ya ujenzi wake.
Akizungumza mara baada ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATOA SH. BILIONI 15 KUMALIZIA UJENZI HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE, MARA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu(kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima wakati walipokutana mkoani Marawakati Mawaziri hao walipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo mkoani Mara

Na Mwandishi Wetu, Musoma.
Rais Dk. John Magufuli ametoa Sh. Billioni 15 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa hospitali ya Rufani ya...

 

5 years ago

Michuzi

KASI UJENZI MIRADI YARIDHISHA




……………………………………………………………………
Na Mwandishi wetu Mihambwe 
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya kimaendeleo inayoendelea ndani ya Tarafa ya Mihambwe. 
Gavana Shilatu aliyabainisha hayo wakati alipofanya ziara ya siku 2 ya kutembelea miradi inayojengwa na kukuta ujenzi ukiwa unashika kasi na mengine ikiwa hatua za mwisho za umaliziaji, kasi ambayo inatoa dira nzuri ya kumalizika kwa wakati. 
“Kote nilipotembelea nimejionea kasi ya ujenzi wa miradi...

 

11 years ago

Dewji Blog

NHC watathmini utekelezaji wa ujenzi wa miradi

unnamed

Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Isikizya zilizopo wilayani Uyui mkoani Tabora kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.

unnamed (1)

Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo, Kongwa Dodoma kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uturuki kushiriki miradi ya ujenzi nchini

KAMPUNI tatu kutoka Uturuki zimeingia nchini kwa lengo la kushiriki katika ujenzi kwenye miradi tofauti katika maeneo mbalimbali. Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KAYA ya Uturuki, Orhan Babaoglu, alisema kukua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC yawaalika wawekezaji ujenzi miradi wa nyumba

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limewaalika wawekezaji watakaoshirikiana nao katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanyika nchini. Mkurugenzi wa Shirika hilo, Nehemiah Mchechu, alitangaza hayo jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MIRADI YA NHC WAMKUNA NAIBU WAZIRI MABULA

 Taswira ya Jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) lilipo katika Shamba la Miti la Kilimanjaro Kaskazini wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa wilaya ya Rombo, watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya ardhi ya mkoa wa Kilimanjaro pamoja na watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) alipotembelea mradi wa ujenzi wa jengo la TFS katika shamba la Miti la Kilimanjaro...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI KUHUSU KASMA MAALUM YA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale amesema hakuna ufisadi wowote wala malipo tata yaliyofanywa na wizara ya ujenzi kwa makandarasi na wahandisi washauri katika bajeti ya mwaka 2011/2012.
Eng. Mfugale amesema fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya kasma maalum ya ujenzi wa miradi ya barabara nchini kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 252 kilitumika kulipa madai ya Makandarasi na Wahandisi washauri.
Eng. Mfugale amesisitiza kuwa Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani