Serikali kununua bomba za maji nchini
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amesema Serikali itaanza kununua mabomba ya maji yanayozalishwa na viwanda mbalimbali nchini badala ya kuagiza kutoka nje.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI, YAZINDUA MWONGOZO WA UTENDAJI KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI
10 years ago
MichuziMUWSA YASAMBAZA BOMBA ZA MAJI MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA
TATIZO la upungufu wa maji katika Manispaa ya Moshi linaelekea kuwa historia ifikapo mwezi Desemba mwaka huu kufuatia kukamilika kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliopo katika chemchem ya Mto Karanga ambao umegharimu kiasi cha shilingi milioni 382.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ( MUWSA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefafanua kuwa, mradi huo utakapokamilika utahudumia maeneo ya Bomambuzi, Pasua ,...
10 years ago
GPLMUWSA YASAMBAZA BOMBA LA MAJI KATIKA MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI ATOA SIKU 90, KWA MKANDARASI ANAESAMBAZA BOMBA LA MAJI MRADI WA MLANDIZI
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Waziri wa Maji atoa siku 90 kwa Mkandarasi Megha Engineering anaesambaza bomba la maji mradi wa Mlandizi Kimara
Waziri wa maji Jumanne Maghembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea tembelea miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA), kwa lengo la kupata tathimini ya mradi huo ulipofikia sasa.(Habari Picha na Philemon Solomon).
WAZIRI wa maji Jumanne Maghembe ametoa siku 90, kwa mkandarasi Megha Engineering Infrastructure Limited anaesambaza bomba la maji mradi wa...
11 years ago
GPLBOMBA LA MAJI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Prof. Jumanne Maghembe: Serikali imevalia njuga tatizo la ukosefu wa maji nchini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Prof. Jumanne Maghembe mara baada ya kuwasili katika kata ya Kileo jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro wakati alipoanza ziara ya kikazi ya jimboni humo akikagua na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa CCM.
Akizungumzia tatizo la maji nchini kwa ujumla Prof....
10 years ago
VijimamboNyumba zilizojengwa juu ya bomba la kupitisha maji Buruguni kuvunjwa.
Rais Jakaya Kikwete, jana alitembelea waathirika wa mafuriko Buguruni kwa Mnyamani na kuahidi kuwasaidia, huku akiagiza kuvunjwa kwa nyumba zitakazobainika kujengwa juu ya bomba hilo.
Kikwete alisema tathmini ya nyumba ziliozojengwa juu ya bomba hilo itafanyika, na wanaanchi watalipwa fidia zao.
Kadhalika, alisema bomba hilo lililosababisha mafuriko hayo litajengwa upya ili kuwezesha kupitisha maji mengi zaidi.
Kikwete pia ameagiza wilaya ya Ilala itoe msaada wa chakula kwa wakazi hao, pamoja...
9 years ago
MichuziBOMOBOMOA SALASALA ILI KUPISHA UJENZI WA BOMBA LA MAJI -RUVU CHINI