Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yafuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru

Serikali imefuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa tanganyika na badala yake siku hiyo kwa mwaka huu itatumika kufanya usafi nchini kote kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Agizo la serikali la kufuta maadhimisho hayo mwaka huu, limetolewa na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dakta john pombe magufuli, kupitia katibu mkuu kiongozi, ombeni sefue.

Hii ni mara ya kwanza kwa serikali kufanya hivyo katika siku ya uhuru ambayo huadhimishwa disemba tisa kila mwaka...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AHUDHULIA KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA MALAWI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongozana na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima kukagua gwaride maalum la makaribisho kwa Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Tanzania baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Lilongwe kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Malawi zilizofanyika Jumapili tarehe Julai 06, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

Baadhi ya vikosi vya watumbuizaji katika sherehe hiyo vikionekana kupanda gari kwa ajili ya kuondoka uwanjani hapo Wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakitawanyika kutoka Uwanja wa Uhuru.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA



Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akisalimiana na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.Baadhi ya viongozi wa nchi wakiwa jukwaa kuu.
Askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wakitoa heshima kwa Rais Kikwete.
Haya ni maonyesho ya halaiki.
Baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

JK kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo

‘Happy birthday Tanganyika’. Miaka 52 imetimia tangu Tanganyika (sasa Tanzania), kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza, Desemba 9, mwaka 1961.

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA ZAFANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakiwasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania Bara leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani