Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaipongeza Access Bank kufungua tawi lake jijini Mbeya

IMG_7927

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Access wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Mbeya mwishoni wa wiki iliyopita. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Dk. Norman Sigallah King na kutoka kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Jonas Muganyizi Bisheko, Meneja wa Mkoa wa Benki ya Access Mbeya, Emmanuel Venance na Mwakilishi wa Benki ya Access kutoka Makao makuu jijini Dar...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAIPONGEA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Access wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Mbeya mwishoni wa wiki iliyopita. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Dk. Norman Sigallah King na kutoka kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Jonas Muganyizi Bisheko, Meneja wa Mkoa wa Benki ya Access Mbeya, Emmanuel Venance na Mwakilishi wa Benki ya Access kutoka Makao makuu jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAIPONGEA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA‏

Mwakilishi wa Benki ya Access kutoka Makao makuu jijini Dar es salaam, Sebastian Gaissert, akitoa hotuba yake katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo mkoani Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na…

 

9 years ago

Vijimambo

BENKI YA STANBIC YAZINDUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Munasa akitembezwa katika ofisi za benki ya Stanbic baada ya kuzindua rasmi kutokana na kukamilika kwa ukarabati.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Munasa...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAHAMASISHA WATEJA KUFUNGUA AKAUNTI YA DHAMIRA

Meneja Msaidizi wa Benki ya Azania Joseph Msase akikabidhi fomu ya Akaunti ya Dhamira kwa mmoja wa wateja wa Benki hiyo Benjamini Mengi.Mteja wa Benki ya Azania Benjamini Mengi akionesha fomu yake baada ya kujiunga na Akaunti ya Dhamira ,wengine ni wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi,Hajira Mmambe(mwenye kilemba) na familia ya Mengi.Mtoa huduma kwa wateja katika Benki ya Azania tawi la Moshi ,Happy Msengi akimshawishi Mama Mengi kufungua akaunti ya Dhamira iliyoanzishwa katika Benki...

 

9 years ago

Michuzi

FIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa Djibouti Said Shamo na Mkuu wa Huduma za Rejareja wa benki hiyo, Francois Botha. Mkuu wa Bidhaa na Huduma za Mitandao, Silvest Arumasi akimpa maelekezo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda mara baada ya kufungua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam....

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KUPITIA TAWI LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA TAWI LA MBEYA


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akimtunuku mmoja wa wahitimu wa mafahali  ya 22 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na ya kwanza  kwa tawi la Mbeya.
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services yazindua tawi lake jipya wilayani Kwimba jijini Mwanza

TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imepongezwa na serikali kwa hatua yake ya kufungua tawi wilayani Kwimba mkoani Mwanza.Meneja Mauzo wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala, akimuelekeza jambo Katibu Tawala wa Wilaya Kwimba, Vicent Emmanuel, katika uzinduzi wa tawi jipya wilayani humo, uliofanyika Machi 2 mwaka huu. Wengine ni maofisa wa taasisi hiyo, Ramadhan Hanafi na Monica Mwangoka. Picha na...

 

11 years ago

Michuzi

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akifanya mahojiano na Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko na kueleza huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania watoa msaada kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili,Tandika jijini Dar

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania wameweza kujichangisha wenyewe kwa wenyewe na kupata fedha zilizofanikisha ukarabati wa jengo litakalotumika kama jiko la kupitia na ukumbi wa kulia chakula kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili cha Shule ya Msingi Tandika,Wilayani Temeke jijini Dar es Salaam,Wafanyakazi hao wameamua kufanya hivyo leo ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kusadia watu wenye Mahitaji,wanaofaunya mara moja kwa mwaka Duniani kote,mbali na ukarabati huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani