Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yazionya NGOs kuhusu siasa

Serikali imesema ni kosa kwa Mashirika Yasiyo ya Kisheria(NGOs) kujihusisha na masuala ya siasa na kuwa ikibainika kufanya hivyo, shirika au taasisi hiyo itafutiwa usajili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATOA MSIMAMO KUHUSU VYAMA VYA SIASA VINAVYOTAKA KUSHIRIKIANA KINYEMELA UCHAGUZI MKUU (VIDEO)


Na Jacquiline Mrisho - Dodoma
Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Nyahoza...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI KUBORESHA MICHANGO YA NGOs KATIKA JAMII

Mkurugenzi wa  Uratibu wa NGOs, Marcel Katemba, akitoa ufafanuzi kwa wanahabari(hawapo pichani). Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Usajili wa NGOs Baraka Leonard (wa kwanza kulia) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Enterberth Nyoni, na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto, Rose Minja wakiwa katika hafla hiyo.…

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge waonya serikali utitiri wa NGOs za dini

WABUNGE wameshauri Serikali kuwa makini katika kusajili asasi za kiraia, hasa za madhehebu ya dini ili kudhibiti kuwepo utitiri wa vyama hivyo vya kijamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPDC yazionya kampuni

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limezitaka baadhi ya kampuni zinazofanya utafiti wa mafuta kuacha kutoa taarifa za upotoshaji kuwa Tanga, Kilosa, Kilombelo na Kilimanjaro kumegunduliwa mafuta. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yazionya nchi zenye nyuklia

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi TANZANIA imetaka ihakikishiwe usalama kutoka kwa nchi zenye silaha za nyuklia, huku ikizihimiza nchi hizo kuacha kutoa vitisho kwa nchi nyingine.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vyama vya siasa vyampinga Kafulika kuhusu IPLT

escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila NCCR-Mageuzi.

Na Mwandishi wetu

MUUNGANO wa Vyama vitano vya siasa umewataka wanasiasa kuacha kumpiga Mwenyekiti wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Saign Sethi, kwamba amehusika na upotevu wa sh bilioni 200 katika Akaunti ya Escrow.

Vyama hivyo vitano ni Chana Cha Kijamii (CCK), Chama cha wa Kulima (AFP), Chama cha Sauti ya Umama (SAU), UMD na Demokrasia Makini.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu chama cha SAU, Ali Kaniki, alisema wanapenda...

 

11 years ago

GPL

‘TANZANIA KWANZA’ YAVISHAMBULIA VYAMA VYA SIASA KUHUSU KATIBA

Mwenyekiti Tanzania Kwanza Nje ya Bunge, Augustino Matefu, akizungumza na waandishi wa habari  (hawamo pichani).
Kushoto ni Katibu wa Tanzania Kwanza, Othman Suleiman, kulia ni Mwenyekiti Augustino Matefu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani