‘TANZANIA KWANZA’ YAVISHAMBULIA VYAMA VYA SIASA KUHUSU KATIBA
Mwenyekiti Tanzania Kwanza Nje ya Bunge, Augustino Matefu, akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani). Kushoto ni Katibu wa Tanzania Kwanza, Othman Suleiman, kulia ni Mwenyekiti Augustino Matefu.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
Vyama vya siasa vyampinga Kafulika kuhusu IPLT
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila NCCR-Mageuzi.
Na Mwandishi wetu
MUUNGANO wa Vyama vitano vya siasa umewataka wanasiasa kuacha kumpiga Mwenyekiti wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Saign Sethi, kwamba amehusika na upotevu wa sh bilioni 200 katika Akaunti ya Escrow.
Vyama hivyo vitano ni Chana Cha Kijamii (CCK), Chama cha wa Kulima (AFP), Chama cha Sauti ya Umama (SAU), UMD na Demokrasia Makini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu chama cha SAU, Ali Kaniki, alisema wanapenda...
11 years ago
Habarileo05 Aug
Vyama vya siasa vyaonywa Katiba mpya
KAMATI ya Tanzania Kwanza nje ya Bunge Maalumu la Katiba, imevitaka vyama vya siasa kuweka maslahi ya nchi mbele katika mchakato wa kuunda Katiba mpya.
10 years ago
Vijimambo03 May
Kiama vyama vya siasa, Mageuzi kuwalazimu kubadilisha Katiba zao, Lengo ni pamoja na kufuta vikundi vya ulinzi
.jpg)
Mtikisiko mkubwa unavikabili vyama vya siasa nchini, vinapoandaliwa kufanya mabadiliko ya lazima kwa Katiba zao, ili pamoja na mambo mengine, vifute vifungu vinavyohalalisha uhai wa vikundi vya ulinzi na usalama.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuwapo kwa vifungu vya katiba hizo hasa vinavyohusu uwapo wa vikundi vya ulinzi na usalama na hivyo kukiuka Katiba ya nchi inayotoa haki hiyo kwa majeshi ya ulinzi na usalama.
Taarifa za uhakika...
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Vyama vya siasa vyataka mwafaka wa Katiba Mpya
10 years ago
GPL
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TAMKO KUHUSU CHAMA CHA TPP
10 years ago
GPLTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUHUSU MAJIMBO MAPYA
11 years ago
Michuzi06 Feb