Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sh Milioni 100 zahitajika kukamililishia ujenzi wa kituo kipya cha ZBC

DSCN4388

Aliyenyoosha mkono ni Mkuregenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Nd. Hassan Abdalla Mitawi akitoa maelezo kwa Waziri wa Habari Zanzibar. (Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar).

DSCN4362

Fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib (wa kwanza kulia) akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk (kushoto). 

DSCN4401

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk akikagua Jenereta linalotarajiwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar atembelea kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).

Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar  Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk amesema zaidi ya shilingi milioni 100 za Kitanzania zinahitajika ili kukamilisha ujenzi wa kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).  Hayo ameyasema wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo hicho kilichopo Bungi Wilaya ya Kati Unguja. Amesema lengo la ziara hiyo ni kuangalia ufanisi wa kazi kwa watendaji wa kituo hicho na kusisitiza kuwa ni...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO KIPYA CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)

Chumba cha mitambo ya kurushia matangazo (Transmitter) kilichopo katika Kituo cha Bungi, Unguja. Fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk wa kushoto.…

 

11 years ago

Habarileo

Milioni 100/- zahitajika Lindi kwa waathirika wa mvua, upepo

JUMLA ya Sh milioni 100 zinahitajika kufanya ukarabati wa shule za msingi, sekondari na zahanati wilayani Kilwa mkoani Lindi zilizoezuliwa bati na majengo kuharibiwa kutokana na mvua kali zilizoambatana na upepo mwezi huu.

 

10 years ago

Vijimambo

MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SIMU2000

Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imedhihirisha jitihada zake za kwenda na wakati katika huduma zake, baada ya kuamua kutoa huduma ya bure ya mtandao wa intrenet wa WiFi kwenye Kituo kipya cha Mabasi cha Sinza, jijini Dar es Salaam.
Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SINZA

Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imedhihirisha jitihada zake za kwenda na wakati katika huduma zake, baada ya kuamua kutoa huduma ya bure ya mtandao wa intrenet wa WiFi kwenye Kituo kipya cha Mabasi cha Sinza, jijini Dar es Salaam.

Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki

Dar es Salaam. Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam jana walikumbwa na taharuki baada ya kituo cha daladala cha Mwenge kuhamishiwa eneo la Makumbusho .

 

10 years ago

Michuzi

Kituo Kipya cha Michezo kujengwa Mkoani Pwani

Wakati usajili kwa watu wanaotaka kushiriki mbio ndefu za Uhuru, maarufu kama Uhuru Marathon, zinazotarajiwa kufanyika Desemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam ukiendelea kwa kasi kubwa waandaaji wa mbio hizo wamezindua mpango wa kujenga kituo cha michezo eneo la msoga mkoani pwani.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa Kamati ya mbio hizo, Innocent Melleck alisema,kamati ya uhurumarathon imeona umuhimu wa kuanzisha kituo hicho ambapo jumla ya shilingi...

 

11 years ago

GPL

KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR

Abiria wakipanda daladala. Askari wa usalaama…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani