SHAMSA FORD AELEZA ALIVYOUGUA UGONJWA WA KICHAA
![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dYYNAU0K9anFHw7ISiGc7jLxDcvRlAq5FirNatojGLBn-y2v5VRqRIjo7A4QMh4CbDIajeahON7SgVXon85aSYr/shamsa.jpg?width=612)
Stori:SHANI RAMADHAN MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa aliwahi kuugua ukichaa. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na mtoto wake wakiburudika. Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Shamsa alisema ukichaa huo aliupata alipokuwa akisoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kunduchi-Beach, jijini Dar ambapo alilazimika kukaa nyumbani kwa takriban mwaka mzima kupatiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 May
Daktari aeleza alivyougua homa ya dengue
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Shamsa Ford hana aibu!
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.
Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.
Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.
Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEdJfuw1v0NazLOQEgFOQYa8GKAq1i6egmaFlfz-A9F3-4qZSGPe50-bHYYVuK2IxcTcoFEDPX9uEsh6GVkU9*-/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsOYm4*bfechRvW-ZTv2j2JBxhUqxGHEitlp*0jJzIQbBhNVlLVvCOfBxAyMUgT-fqjMj-RodrUZ6gjieetY7h1/SHAMSHA.jpg?width=650)
SHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Shamsa Ford Amfunda Aunt Ezekiel
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kumfunda mwezie Aunt Ezekiel juu ya kulinda familia yake. Aunt Ezekiel ambaye amejifungua hivi kalibuni mototo wa kike aliyempa jina la Cookie, alipewa mafunzo hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonesha baba wa mototo wake Moses Iyobo ambaye pia ni dansa wa msaanii wa muziki Diamond Platnum akiwa amekaa pembeni ya mototo wao akimuangalia.
Katika picha hiyo Aunt aliandika maneno”Daddy’s home sio kwa kutaka muda...
10 years ago
GPLSHAMSA FORD ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qUZbsOiEeqnxh37lP4GGIgT*iD5v-5dnN2JhANT*wNcZyi5cc1mVp0jHTyVfJKCAl*CFsQw4htHyHWA4SlkAbuLXc7uY5mpV/IMG_0006.jpg?width=650)
SHAMSA FORD: NAWACHUKIA WANAOPENDA KUJIKWEZA
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Shamsa Ford ajivunia mapokezi ya Chausiku
MWANADADA anayetamba katika filamu ya ‘Chausiku’, Shamsa Ford amewashukuru wapenzi wake kwa kuipokea vyema filamu hiyo na kwamba anauhakika kati ya kazi zote hiyo amecheza vizuri zaidi. Akizungumza jijini Dar...