Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMSA, NAY, SIAMINI KAMA NYIE NI WA KUTAFUTA KIKI!

WAANDISHI wa habari na mastaa wa fani mbalimbali duniani ni watu wa familia moja. Wanakutana, wanaongea na baadhi yao wanajenga urafiki mkubwa au hata kuoana. Kuna msururu mrefu wa mastaa walioingia katika uhusiano wa kimapenzi na waandishi au kujenga urafiki wa kindugu. Ni rahisi kwangu kwa mfano, kukutana na staa yeyote mkubwa katika nchi hii kuliko inavyoweza kuwa hivyo kwa mtu mwingine. Hata kama sijawahi kukutana naye, ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa

Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford  na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.

Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...

 

10 years ago

GPL

PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO

Musa mateja na imelda mtema
Penzi matata linalowanyima usingizi baadhi ya watu mjini kwa sasa kati ya mwigizaji wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe, Ijumaa limesheheni. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego na Shamsa Ford wakipozi kimahaba. TATIZO MAHABA NIUE
...

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

9 years ago

GPL

MAMA; SIAMINI KAMA KUNA UHAI TENA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Kilio cha mwanamke huyu aliyejitambulisha kwa jina la Rhoda Chegele (50), kinatia huruma kwani amefikia hatua ya kusema kwamba haamini kama kuna uhai tena. Rhoda Chegele akiwa na uvimbe kichwani unaomsababishia maumivu makali. Rhoda ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jengo la Mwaisela, Wodi Namba 2 akiwa ametokea mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Same, Mtaa wa Bomani...

 

9 years ago

Bongo5

Ditto: Siamini kabisa kama Afande Sele ameacha muziki

Afande-Sele-nzuri_full

Ditto ambaye ni miongoni mwa wasanii waliowahi kufanya kazi na Afande Sele kwenye kundi la Watu Pori ambalo halipo tena, ametoa maoni yake kuhusu taarifa za uamuzi wa Afande kutangaza kuacha muziki baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Morogoro mjini.

Afande-Sele-nzuri_full

Wiki iliyopita rapper mkongwe wa Morogoro Afande Sele alitangaza kuweka muziki pembeni ili kujikita kwenye kilimo na ufugaji.

“Mimi niwe tu wazi kwamba siamini kama Afande ameacha muziki,” alisema Ditto kupitia...

 

10 years ago

GPL

NAY AFUNGUKIA NDOA NA SHAMSA

Na Mussa Mateja
Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo msanii mwenzake ambaye sasa hivi wanapika na kupakua, Shamsa Ford atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa. Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,akipozi kimahaba na Shamsa Ford. Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY

Brighton masalu
USALITI? Huenda maumivu ya mapenzi yakazidi kumuandama msanii wa muziki Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya gazeti hili kunasa picha za mchumba’ke Shamsa Ford akiwa katika mahaba mazito na msanii mwanaume mwingine aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wake, Rammy Galis, Amani lilifuatilia hatua kwa hatua. Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akipozi kimahaba na Rammy Galis. Ishu hiyo...

 

10 years ago

GPL

NAY WA MITEGO, SHAMSA MKE NA MUME!

Musa Mateja Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume. Mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’ wakizungumza jambo. Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti hili ...

 

10 years ago

GPL

NAY, SHAMSA WADAIWA KUPIKA NA KUPAKUA

Musa Mateja
KILICHOJIFICHA nyuma ya pazia la uhusiano wa mastaa wa Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, na Shamsa Ford sasa kimevuja baada ya Risasi Mchanganyiko kunasa habari za wawili hao kuwa kwenye uhusiano wa mapenzi kiasi cha kudaiwa kupika na kupakua pamoja. Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Chanzo makini kimeeleza kwamba, wawili hao ambao kila mmoja katika siku za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani