Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA JUBILEE YA MIAKA 25 YA KKKT - DMZV ZILIVYOFANA JANA JIJINI MWANZA.

Askofu mkuu wa Dayosisi ya Mwanza Ziwa Victoria (DMZV) Andrew Gulle kabla ya kufunua jiwe maalum la Jubilee alikata utepe kuashiria safari ya maadhimisho hayo kuanza rasmi, ambapo kilele chake kitakuwa tarehe 31 Agosti, 2014.   Jiwe la jubilee. Kabla ya Uzinduzi wa kanisa la Imani KKKT Mwanza historia ya ujenzi wa kanisa hadi kukamilika ilisomwa naye Bw. Serafin Kimaro. Jumla ya shilingi bilioni moja na milioni 500 zimetumika kukamilisha ujenzi huo uliotumia miaka takribani 13 hadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHEREHE MIAKA 53 YA UHURU ZILIVYOFANA DAR ES SALAAM

Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.…

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA ZILIVYOFANA WAHSINGTON DC,WATANZANIA WAFURIKA

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Mke wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU FASHION".
Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO

Bendi ya Jeshi la polisi wakiwa katika maandamano ya siku ya wafanyakazi yaliyofanyika katika uwanja vya uhuru jijini Dar es salaam leo.Picha zote na Avila KakingoWafanyakazi wa Kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Daily, Sunday News na Habari leo (TSN) wakipita na bango lao wakati wa kuadhimisha siku ya Wafanyakazi (Mei Dei), leo jijini Dar es salaam. Maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi), yaliyofanyika katika uwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam leo.Hawa ni wachama...

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI JANA KATIKA JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE

The Grand Utalii Jazz Band, wakiongozwa na Hamza Kalala (kushoto) na Rajabu Zomboko (katikati) wakifanya yao. Mshereheshaji, Masoud Masoud akizinadi CD za albamu mpya ya Msondo Ngoma. Baadhi ya mashabiki wa Msondo wakinunua CD hizo.…

 

10 years ago

CloudsFM

SHEREHE ZA UHURU ZILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.

Pia baadhi ya viongozi walioshiriki maadhimisho hayo wamepongeza juhudi za Rais Kikwete katika kusimamia mchakato wa Katiba hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura ya maoni, na kuwataka wananchi kujitokeza kuipigia kura Katiba hiyo Inayopendekezwa kwa kuwa inajali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Mei Mosi zilivyofana mkoani Kilimanjaro

E86A6167 (800x533)

Wafanyakazi wa Shirika la Umeme(TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro wakipita na gari lao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu chaUshirika  mjini Moshi.

E86A6174 (800x533)

Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCLwakipita katikamaonesho ya Mei Mosi.

E86A6177 (800x533)

E86A6178 (800x533)

Chuo cha wauguzi Kibosho pia walipita mbele ya mgeni rasmi kuonesha nini wanafanya katika sherehe hizo za Meio Mosi.

E86A6179 (800x533)

E86A6195 (800x533)

Mtafiti kutoka kituo cha utafiti wa zao la Kahawa nchini cha TACri ,Jeremiah Magesa akitoa maelezo...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA, MCHUNGAJI JOHN BUNANGO, JIJINI MWANZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana nabaadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo, Oktoba 19, 2014, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuwekwa Wakhfu Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji John Bunango, iliyofanyika jijini humo leo mchana. Maaskofu wakimwekea mikono ya Baraka Askofu mwenzao, Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani