Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wa Jeshi, Monduli.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mkuu wa majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mirisho Sarakikya muda mfupi baada ya kuwasili katika Chuo cha Jeshi Monduli, tayari kwa kutunuku kamisheni kwa maofisa 179 wapya wa jeshi waliohitimu vyema mafunzo yao mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Jeshi (TMA) Monduli, Brigedia Jenerali Paul Massao (kulia) wakimsindikiza Amiri Jeshi Mkuu, Rais Kikwete kwenda...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sherehe za kutunuku kamisheni maofisa wa Jeshi - Monduli

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa walipohudhuria sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli mkoani Arusha leo.   Picha ya pamoja Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akiongea na  maofisa waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiwemo na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange (kushoto) kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

Sherehe za kutunuku kamisheni maofisa wa Jeshi cha Monduli, Arusha, leo

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Mstaafu Mhe  Edward Lowassa walipohudhuria sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha leo. Picha ya pamoja Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe.  Edward Lowassa akiongea na  maofisa waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiwemo na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange (kushoto) kwenye sherehe za kutunukiwa...

 

9 years ago

Michuzi

Raisi Kikwete atunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli, JWTZ wamzawadia

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili  kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo. Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride muda mfupi kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikiwete atunuku Kamisheni Kwa maofisa wapya wa Jeshi

Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza luteni Usu Mohamed Ramadhani Mgalawe baada ya kuibuka mwanafunzi bora wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maafisa wapya 179 wa jeshi la Wananchi waliohitimu vyema mafunzo yao katika chuo cha Jeshi Monduli Mkoani Arusha jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 179 wa jeshi waliohitimu vyema mafunzo yao ya muda mrefu katika chuo cha jeshi Monduli Mkoani Arusha jana.Maofisa wapya wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI KWA MAOFISA WAPYA WA JESHI

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Mohamed Ramadhani Mgalawe baada ya kuibuka mwanafunzi bora wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maafisa wapya 179 wa jeshi la Wananchi waliohitimu vyema mafunzo yao katika chuo cha Jeshi Monduli Mkoani Arusha jana. Rais…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani