Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHINE WITH SHINA ANNUAL GALA 2015 YAFANA GREENBELT, MARYLAND

Meza kuu kutoka kushoto ni Bi. Jennifer Jones ambaye ni ni mkuu wa Kamisheni ya wanawake kaunti ya Prince George, Afisa Suleiman Saleh ambaye alimwakilisha Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi. Kulia ni Dr. El Senzengakulu Zulu ambaye ndio mwanzilishi na mmiliki wa shule ya Ujamaa inayofundisha tamaduni za bara la Afrika. PICHA NA KWANZA PRODUCTION/VIJIMAMBO BLOG.Kutoka kushoto ni Dr. John Rutayuga ambaye ni mwanzilish wa Ukwimwi Orphans akiwa meza kuu na Mr and Mrs...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

SHINE WITH SHINA ANNUAL GALA GREENBELT, MARYLAND

 Wahusika wa Shine with SHINA wakihakiki majina ya wageni waliohudhuria Annual Gala iliyofanyika katika hoteli ya Hilton iliyopo Greenbelt, jimbo la Maryland nchini Marekani. Mada ilikua ni ya kuzungumuzia changamoto za wageni wanazo kutananazo kwenye nyanja mbalimbali hususani utamaduni na malezi ya watoto na hasa unapokua muAfrica wa kutoka Afrika unayezungumuza kiingereza cha kiafrika. Changamoto za watoto wanaozaliwa na wazazi wanaotokea Afrika, changamoto zilizoelezewa kwa ufasaha na...

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

SHINE WITH SHINA GALA 2014 #USKOSE


It is  about that time of the year when together we reach and touch the Most Vulnerable. This year SHINA Inc., we are focusing on Special needs children in Tanzania collaborating with Anglican Church in Muleba Area and Maziwani Project in Pemba. Your presence/ and or donation will go a long way to touch the most vulnerable. 25% of the fund raised will be contributed toward Ebola Victims through Children Fund

Hope to see you there..KARIBUNI WOTE

 


 

9 years ago

Vijimambo

SHINA GALA YAFANA

Meza kuu kutoka kushoto ni Bi. Jennifer Jones ambaye ni ni mkuu wa Kamisheni ya wanawake kaunti ya Prince George, Afisa Suleiman Saleh ambaye alimwakilisha Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi. Kulia ni Dr. El Senzengakulu Zulu ambaye ndio mwanzilishi na mmiliki wa shule ya Ujamaa inayofundisha tamaduni za bara la Afrika. PICHA NA KWANZA PRODUCTION/VIJIMAMBO BLOG.Kutoka kushoto ni Dr. John Rutayuga ambaye ni mwanzilish wa Ukwimwi Orphans akiwa meza kuu na Mr and Mrs...

 

10 years ago

Vijimambo

SHINA GALA YAFANA, LIVE BAND, AWARD ZATOLEWA NA MENGI MENGINEO

Balozi Leberata Mulamula  akitoa nasaha zake wakati wa  SHINA GALA kuchangia watoto yatima TanzaniaShina's President mama Mushala akielezeza historia na maendeleo na malengo mazima ya SHINA Amos Mushala alitoa salam katika  SHINA  GALA kuchangia watoto yatima huko nyumbani TanzaniaJuu na chini ni "The Afrofloerty Band" chini ya uongozi wa Anna Mwalagho wakitumbuiza katika  SHINA GALA














































 

10 years ago

Vijimambo

DIASPORA/US/TZ TRADE NETWORKING CONFERENCE MARTIN CROSSWINDS GREENBELT, MARYLAND

FOR PAYMENT, PLEASE CHOOSE ONE OF THE FOLLOWING:
1)Bank of America
ICT
Acct#446010636222
2)Paypal.com
Select making payment to
email:ictcustomersrvcs@gmail.com
3)Western Union to:
Jasmine Rubama
Gwynn Oak,Md 20217

Please contact Jasmine Rubama@410-371-9966
After you submit payment to any of the options above.
We thank you for doing bussiness with us.
ICT Management

 

11 years ago

TheCitizen

Mwambusi, Tchetche, shine at awards gala

Azam FC Ivorian striker claimed his Sh5.2 million after being named the best player of the 2013/14 Premier League season.

 

11 years ago

Michuzi

SHINA LA CCM MARYLAND LAFUNGULIWA, MRISHO MZESE MWENYEKITI, MARCO MBULLU KATIBU


Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa tawi CCM DMV siku ya Jumapili March 9, 2014 Germantown, Maryland. Picha na Vijimambo Blog  Mwenyekiti wa shina CCM Maryland, Mrisho Mzese akiongea na kumkaribisha mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo huku Mama Kimolo akifuatilia kwa makini. Mwenyekiti CCM DMV George Sebo akitoa shukurani zake kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani