Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUGHULI ZA WAZIRI MKUU MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2014.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda -Dodoma

PG4A0441

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na wafugaji kutoka Morogoro, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). PG4A0468 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mawaziri   baada ya kusoma hotuba yake ya kuahirisha Bunge mjini Dodoma Februari 7, 2015. Kutoka kushoto ni  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid na Waziri wa Fedha Sada Mkuya.  PG4A0475 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu...

 

10 years ago

Michuzi

SHUGHULI MBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU ARUSHA NA DODOMA.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga Eugen Mwaiposa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2015.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Kaimu kiongozi wa Upinzani Bungeni, Tundu Lisu, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif Sefue na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid baada ya kuhudhuria sala na heshima za mwisho kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

GPL

SHUGHULI MBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU KWA MIKOA YA ARUSHA NA DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga Eugen Mwaiposa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2015.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Kaimu kiongozi wa Upinzani Bungeni, Tundu Lisu, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif Sefue na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa.  Waziri Mkuu, Mizengo… ...

 

5 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MALIWA WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 19 WA BUNGE JIJINI DODOMA LEO.


HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE

1.           MheshimiwaSpika, naomba nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujaalia afya njema na kutuwezesha kufika siku hii ya leo ambayo naiita kuwa ni siku ya kihistoria kwetu.
2.           Nasema kuwa ni ya kihistoria kwa sababu Bunge lako Tukufu linahitimisha shughuli za Bunge la Kumi na Moja (11) la...

 

9 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE

Baadhi ya Maafisa wa Bunge wakiwa tayari kwa Zoezi la kupiga kura, wabunge kumthibitisha Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais Dk. John Magufuli, Mhe. Kassim Majaliwa, linaloendelea hivi sasa Bungeni Mjini Dodoma.Zoezi la kupiga kura likiendelea kwa Wabunge Mjini Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dr. Reema Nchimba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

PG4A1532

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1583

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji  ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1718

Ndege akiwa kwenye zuria la Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1784

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab  Kawawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani