Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI

DSC_0519Shuhuda aliyenusurika kwenye mauaji ya Albino ambaye amekatwa mikono yote miwili, Mariam Stanford akitoa ushuhuda wake na killio chake mbele ya meza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi mmoja.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
=======  =======  =======Mwanamke albino Mariam Stanford aliyepoteza mikono yake yote miwili wakati iliponyofolewa na majahili asiowajua Oktona7,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI‏

Shuhuda aliyenusurika kwenye mauaji ya Albino ambaye amekatwa mikono yote miwili, Mariam Stanford akitoa ushuhuda wake na killio chake mbele ya meza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi mmoja. Mke wa Balozi wa Uturuki nchini Yesim Davutoglu, akilia kwa uchungu… ...

 

10 years ago

Vijimambo

JK aidhinisha wauaji albino wanyongwe

La sivyo Chama cha Albino kitakwenda UN, Watano wamehukumiwa, hawajala kitanzi.Rais Jakaya Kikwete.
Chama cha Albino Tanzania (Tas) kimemuomba Rais Jakaya Kikwete, aidhinishe utekelezwaji wa hukumu ya kuwanyonga hadi kufa, wafungwa waliopatikana na hatia ya kuwaua albino.

Akizungumza kabla ya kuhitimisha Mkutano Mkuu wa Kamati Kuu ya TAS, wiki hii mjini Dodoma, Mwenyekiti wa Tas – Taifa, Ernest Kimaya, alisema ombi hilo ni moja ya maazimio waliyoyafikia na yasipotekelezwa ndani ya miezi...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ataka Kikwete asaini kunyonga wauaji wa albino

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameitaka jumuiya ya albino nchini kuisukuma Serikali ili Rais Jakaya Kikwete asaini utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga wauaji wa albino.

 

10 years ago

Mwananchi

Wauaji wa albino tunawafuga wenyewe

Habari zenu ndugu wa darasa huru. Natumaini ni wazima. Shukrani zangu za dhati kwenu kwa kuwa pamoja nami katika safu hii Jumamosi ya leo.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi za wauaji wa albino kuharakishwa

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande OthumanJAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amesema watahakikisha kesi zote zinazohusu mauaji ya walemavu wa ngozi zinapewa kipaumbele.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Wauaji wa albino wasakwe

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo uvamizi wa vituo vya Polisi, uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kura za wauaji wa Albino ziliishia wapi?

MAUJI ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini (Albino), bado yanazidi kushika kasi. Hii inaweza kuwa tafsiriwa tosha kwamba wanaojihusisha na unyama huo, wametambua hatua dhaifu zinazochukuliwa na Serikali kupitia...

 

10 years ago

Habarileo

Mabalozi wafichueni wauaji wa albino-CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka mabalozi wa nyumba kumi, kushirikiana na serikali kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa kubaini na kufichua mtandao wa wanaohusika.

 

11 years ago

Mwananchi

Albino auawa, wauaji watoweka na viungo

Watu wasiojulikana mkoani Simiyu wamemuua kwa kumkatakata mapanga mlemavu wa ngozi (albino), Mughu Lugata (40) huku wakitoweka na baadhi ya viungo vyake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani