Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULE YA MSINGI KABALE BUKOBA VIJIJINI YAPOKEA UGENI WA MRADI WA "OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION" TOKA MAREKANI

Mwanafunzi wa Shuke hiyo ya Kabale iliyopo Bukoba Vijijini akimkabidhi Bw.  Joe Ricketts maua ikiwa ni ishara ya kumkaribisha mgeni huyo kutoka USA ambaye ni Mwenyekiti wa Mradi wa (Opportunity Education Foundation) kwenye shule hiyo leo hii. Bw. Joe Ricketts  kutoka USA kupitia Mradi wa (Opportunity Education Foundation)  akiingia kwenye eneo la Shule hiyo kwenye shule hiyo ya Kabale, Baada ya kupokelewa na Walimu wa Shule hiyo. Kutoka kushoto wa Pili ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bi....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH, DAR, YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi beach jijini Dar es Salaam, wakishusha vifaa vya kompyuta mpakato kwa kushirikiana na maofisa wa Vodacom Tanzania, Jumla ya kompyuta(25) pamoja na  vifaa vingine vimetole msaada na Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Samsung na vitafungwa hivi karibuni kwa ajili ya kufundishia somo la kompyuta shuleni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM YAPOKEA MSAADA WA KOPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi beach jijini Dar es Salaam,wakishusha vifaa vya kompyuta mpakato kwa kushirikiana na maofisa wa Vodacom Tanzania,Jumla ya kompyuta(25) pamoja na vifaa vingine vimetole msaada na Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Samsung na vitafungwa hivi karibuni kwa ajili ya kufundishia somo la kompyuta shuleni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya sekondari ya...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi msaada wa moja ya Kompyuta kati ya(20)Mwalimu Mkuu wa shule ya...

 

10 years ago

GPL

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi...

 

10 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata 'FMF' ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WA MADRASSA VIJIJINI MKOA WA PWANI WATEMBELEWA NA KALAMU EDUCATION FOUNDATION

 Ustaadh Hussein Ahmad wa Madrassa Mukarramah (kushoto) akipokea Sehemu ya Zawadi za Chakula Kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation wanaotembelea Sehemu za Mkoa wa Pwani kufahamu Walimu wa Madrassa wanavyoendesha shughuli zao katika Kipindi hiki Cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja nae ni Ndugu Ibrahim Biswalo Meneja Miradi wa Taasisi hiyo na Ndugu Mashaka Daudi Ofisa Usambazaji. Walimu wa Madrassa kutoka katoka Vijiji Mbali Mbali vya Wilaya ya Kisarawe wakiwa na baadhi ya Maofisi wa...

 

10 years ago

Michuzi

TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba

Uongozi wa TTCL ukitoa Msaada wa Madawati katika Shule ya Msingi  Bunena leo Ijumaa.TTCL inaamini kutoa msaada huo wa Madawati utasaidia kuboresha Ufanisi wa Shule na hatimaye kupata Matokeo Makubwa sasa katika Sekta ya Elimu. Pia ni Mategemeo ya TTCL kuwa utaleta chachu kwa wadau wengine katika Sekta kuweza kuchangia katika sekta hiyo pana ya Elimu. Hatimae kuondoa Changamoto zinazoikabili sekta ya Elimu hapa Mkoani Kagera na Nchi nzima kiujumla. TTCL pia imeweza kuwahakikishia wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani