SIASA: Zitto kumwachia cheo mgombea urais ACT
>Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atalazimika kuachia wadhifa huo kwa mtu mwingine atakayeteuliwa na chama hicho kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA
Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha. Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa. Kabwe akizungumza na wanachama.…
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Ratiba ya kampeni za mgombea Urais/Mgombea Mwenza kwa Vyama vya Siasa iliyorekebishwa tarehe 20/10/2015
RATIBA REVIEWED ON 20 10 2015.pdf
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Ratiba ya kampeni za mgombea Urais/Mgombea mwenza kwa vyama vya siasa — kama ilivyorekebishwa tarehe 22/10/2015
RATIBA REVIEWED ON 22 10 2015.pdf
9 years ago
Michuzi9 years ago
VijimamboMgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.
Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...
9 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
KUENDELEA KUANGALIA RATIBA NZIMA BOFYA HAPA.
10 years ago
Mwananchi15 Jun
Mgombea urais ACT kujulikana Agosti 10
Chama cha ACT - Wazalendo kinatarajia kumtagaza mgombea wake wa urais wa Agosti 10, imefahamika.
10 years ago
Habarileo15 Jun
Mgombea Urais wa ACT hadharani Agosti 10
MGOMBEA wa Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu kupitia chama cha ACT-Wazalendo, inatarajia kujulikana Agosti 10 mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Msafara wa mgombea urais wa ACT wazuiwa
Msafara wa mgombea urais kupitia chama cha ACT- Wazalendo umezuiwa kwa muda na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea, wakidai kuwa na wao wanahitaji baraka kutoka kwa mgombea huyo baada ya kuzikosa kwa muda mrefu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania