Sijapenda Majibu ya Harmonize - Rose Ndauka
Msanii Rose Ndauka amesema kitendo cha msanii Harmonize kujibu majibu yenye utata alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Televisio, hakupendezwa nacho kwani kinazidi kuleta sintofahamu.
Rose Ndauka ameyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba Harmonize alitakiwa kujibu moja kwamoja kuwa hawana mahusiano yoyote zaidi ya kufahamiana nae kikazi.
“Mi Harmonize namfahamu kama msanii, na hii issue sio...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta
Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.
Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
“Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI
11 years ago
GPLROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.