Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

Mwanahabari na Bloga, Majid Mjengwa akizungumza katika mkutano huo.Mwanahabari na Bloga, Maggid Mjengwa akizungumza katika mkutano huo.Na Joachim Mushi, MorogoroUMOJA wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania (EU) umepinga vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji ambavyo wamekuwa wakifanyiwa waandishi wa habari na vyombo vya dola vya Serikali wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ambapo ilitokea mwanahabari mmoja kuuwawa. Alisema hawatachoka kukemea matukio hayo ya unyanyasaji kwani yanafifisha uhuru wa habari.Akizungumza jana mjini Morogoro katika Maadhimisho ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Katibu  wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin wa pili  kulia  akiongoza  wanahabari na wananchi wa kata ya Ilala kwenda kufanya usafi wa mazingira   leo  wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Wanahabari  mkoa wa Iringa  wakiadhimisha siku ya uhuru wa  vyombo vya habari kwa kufanya usafi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Serikali isiogope uhuru wa vyombo vya habari

>Kati ya mijadala ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma, ule  wa Wizara Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ulinigusa zaidi kutokana na taaluma ninayofanyia kazi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maadhimisho Siku ya Vyombo vya Habari kufanyika Arusha

WAANDISHI wa habari nchini wanatarajiwa kuungana na wenzao duniani katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD), yanayotarajiwa kufanyika Mei 2-3. Akitangaza sherehe hizo jijini Dar...

 

11 years ago

Michuzi

UHURU KWA VYOMBO VYA HABARI UNA I "SHAPE" JAMII ASEMA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII-NYARANDU

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii aliyekuwa jijini Mwanza.

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani