Maadhimisho Siku ya Vyombo vya Habari kufanyika Arusha
WAANDISHI wa habari nchini wanatarajiwa kuungana na wenzao duniani katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD), yanayotarajiwa kufanyika Mei 2-3. Akitangaza sherehe hizo jijini Dar...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII 2014 KUFANYIKA JIJINI ARUSHA

Siku ya Utalii Duniani huadhimishwa tarehe 27 Septemba ya kila mwaka ambapo kila nchi mwanachama wa Shirika la Utalii...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
10 years ago
Michuzi05 May
SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

10 years ago
Dewji Blog01 Sep
RC Arusha aviomba vyombo vya habari kusaidia uchaguzi mkuu kuwa wa amani
Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda.
Na Woinde Shizza, Arusha
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda, amevitaka vyombo vya habari nchini kusaidia uchaguzi mkuu mwaka huu umalizike kwa amani na utulivu ili Tanzania iendelee kuwa na sifa ya amani Barani Afrika.
Akizungumza katika tamasha la 10 la vyombo vya habari mkoani hapa, lililowashirikisha wanahabari kutoka mkoa wa Arusha, Manyara na jijini Dar es Salaam, Ntibenda, alisema vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa amani na...
11 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI
11 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Maadhimisho ya siku ya watu na watoto wenye mtindio wa Ubongo kufanyika Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.
Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza...
10 years ago
Michuzi
MKUU WA MKOA WA ARUSHA FELIX NTIBENDA KUWA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA 10 LA VYOMBO VYA HABARI
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la 10 la vyombo vya habari vya mkoa wa Arusha. ambalo litafanyika Agosti 29 katika uwanja wa sheikh Amri Abeid.
Akizungumza na waandishi wa habari Palace hoteli jana mwenyekiti wa TASWA mkoa wa Arusha, Jamila Omar na Katibu wa TASWA Arusha, Mussa Juma walisema maandalizi yote muhimu yamekamilika ikiwepo ujio wa timu ya TASWA kutoka jijini Dar es Salaam.
Omar alisema Kauli mbiu ya Mwaka...