SIMBA NAO KAMA YANGA HUKO UWANJA WA AMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-HiKWKqm5alA/VK2q1eKrufI/AAAAAAADVE4/62nbqSB4m3Y/s72-c/Simba-SC.png)
Simba sasa imeamka kwenye Kombe la Mapinduzi baada ya kufanikiwa kutinga nusu fainai ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichabanga Taifa ya Jang'ombe kwa mabao 4-0.
Simba imeonyesha inaweza baada ya kuzitumia dakika 45 za kipindi cha pili kwa kuichapa Taifa mabao yote manne kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Shujaa wa Simba leo ni Ibrahim Ajib aliyefunga mabao matatu, hat trick na kufanikiwa kuondoka na mpira wa zawadi wakati mkongwe Shabani Kisiga alimalizia bao la nne.
Simba ilitawala...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA
10 years ago
Mtanzania07 Mar
Yanga, Simba wapigana vijembe nje ya uwanja
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba inatarajia kurejea Dar es Salaam leo wakitokea Zanzibar, huku watani zao Yanga wakitamba kufanya maaja bundani ya dakika 45 za mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaochezwa kesho katika Uwanja waTaifa.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro, amesema kuwa kikosi chao kipo kamili kwa ajili ya mpambano huo na kudai kocha wao, Hans van Pluijm, amemaliza kazi ya kukiandaa kikosi hicho kumenyana na Simba.
“Kocha amemaliza...
10 years ago
Vijimambo02 Jan
KAMA SIMBA, YANGA ZISINGEKUWEPO
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2575332/highRes/912266/-/maxw/600/-/13delfhz/-/pich+simba.jpg)
By GIFT MACHAWAMWANASPOTITimu hizi zimekuwa ndiyo kila kitu kwenye soka la Tanzania. Simba na Yanga ndiyo timu zenye mastaa wengi zaidi nchini. Ni timu zinazofanya usajili wa fedha nyingi zaidi nchini ukichana na Azam inayomilikiwa na mfanyabiashara Said Salim Bakhresa, hii ilianzishwa miaka saba iliyopita.
SIMBA na Yanga ndiyo wababe wa soka la Tanzania. Ndiyo timu zenye historia kubwa kwenye soka la Tanzania tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miongo saba iliyopita.
Timu hizi zimekuwa ndiyo kila...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Simba kama Yanga sakata la Okwi
11 years ago
MichuziSIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
11 years ago
Michuzi30 Jul
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUPAMBANA UWANJA WA TAIFA
![](http://api.ning.com/files/J9FGucqSAtHIvfwhnF6BX9UQREkR50iUJnDEsNhuK9LbPHLaf50XRG2VoNPswCGPVjlIn*12m*KJUQIYGUAOpQhImOm5-33c/koko.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHIvfwhnF6BX9UQREkR50iUJnDEsNhuK9LbPHLaf50XRG2VoNPswCGPVjlIn*12m*KJUQIYGUAOpQhImOm5-33c/koko.jpg)
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA FULL KUKANYAGANA UWANJA WA TAIFA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-w-321q2XNK8/XmU2gaIewFI/AAAAAAACIYE/vMPCQwUEDM4hs1MbPb5JH0XeFVrm61XtQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIIBUGIZA SIMBA 1-0, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-w-321q2XNK8/XmU2gaIewFI/AAAAAAACIYE/vMPCQwUEDM4hs1MbPb5JH0XeFVrm61XtQCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-upxyNIq9zHI/XmU1WlKgb8I/AAAAAAACIXY/L7LvL_NTmK04AWjg1dSw8oMWRZIbqlNPwCLcBGAsYHQ/s400/2.jpg)