Simba wanakuja mdogomdogo VPL.
Kikosi cha Simba.
Simba imezidi kuongeza kasi katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Kagera Sugar.
Kwa ushindi wa mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kambarage mjini hapa baada ya kushindikana kuchezwa Jumamosi kutokana na mvua kubwa iliyonyesha, umeifanya Simba kufikisha pointi 35 moja nyuma ya Azam FC iliyopo nafasi ya pili na tano nyuma ya vinara Yanga.
Hata hivyo, Simba imecheza mechi tatu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Vpl:Yanga, Simba,Azam zashinda
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Simba ikileta mzaha imekwisha VPL
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WEKUNDU wa Msimbazi Simba kama wataamua kuleta mzaha katika usajili wa dirisha dogo, basi isahau suala la kufanya vizuri katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Simba ambayo inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi hiyo, bado haijawa kwenye fomu yake kama ilivyokua misimu mitatu iliyopita, licha ya kujitutumua kutaka kurudi kwenye nafasi mbili za juu ambazo ilikua ikipishana na mahasimu wao Yanga.
Timu hiyo ina nafasi mbili pekee za kuweza kuongeza...
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Ratiba VPL yazibana Simba, Yanga
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam
RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu ujao, imeonekana kuzibana timu za Simba na Yanga ambazo zitacheza mechi nyingi ugenini kwenye mzunguko wa pili tofauti na mabingwa watetezi, Azam FC.
Kwa mujibu wa ratiba hiyo iliyotolewa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inaonesha Simba na Yanga zitacheza mechi saba nyumbani kwenye mzunguko wa kwanza, huku zikicheza mechi saba ugenini mzunguko wa pili.
Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es...
9 years ago
GPLVPL: YANGA 2-0 SIMBA, DAKIKA 90 ZIMEKWISHA
11 years ago
TheCitizen05 Feb
Classy Simba target Mtibwa scalp in VPL
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Yanga, Simba, Azam zatoa dozi VPL
*Kagera, Prisons, Majimaji zabanwa mbavu, African Sports hoi Ligi kuu
NA WAANDISHI WETU
TIMU za soka za Yanga, Simba na Azam jana zilitoa dozi ya vipigo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizochezwa kwenye viwanja tofauti, huku mabingwa hao watetezi wakiendelea kutamba kileleni mwa ligi hiyo.
Vinara Yanga walijiongezea kasi na kuzidi kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kuwazamisha wenyeji wao Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri,...
11 years ago
CloudsFM13 Jun