Sinema kuhusu Kim Jong Un yazuiliwa
Kampuni ya Sony imefutilia mbali kuonyeshwa kwa filamu kwa jina The Interview ,filamu ya ucheshi kuhusu mauaji ya rais Kim Jong-un
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Kim Yo-jong: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa anayeonekana kuwa mrithi wa Kim Jong-un Korea Kaskazini
Uhusiano wa karibu na nduguye na majukumu yake makubwa katika ngazi za kisiasa yamemfanya kuangaziwa tena mwezi Aprili 2020 katika kipindi ambapo Kim Jong un alitoweka katika hafla za umma
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Kim Jong un: Kile tunachojua kuhusu hali ya kiafya ya rais wa Korea Kaskazini
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba anajua hali ya Kim Joing un, kufuatia madai kuhusu afya ya kiongozi huyo wa Korea Kaskazini.
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Kim Jong-un: Ni nani anayeweza kuiongoza Korea Kaskazini bila Kim?
Dada wa ajabu na mpelelezi mkuu ni washindani , huku tetesi zikishamiri juu ya afya ya Kim Jong-un.
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kim Jong-un aonekana hadharani
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa mara ya kwanza ameonekana hadharani tangu Septemba 3.
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Kim Jong-Un apeleka poda jeshini
Kiongozi wa Korea Kusini Kim Jong-Un ameonesha namna anavyojali masuala ya kijinsia kwa kuwapa askari poda za kujipodolea .
10 years ago
BBCSwahili20 Dec
SONY:Tutaonyesha filamu ya Kim Jong-un
Kampuni ya Sony Pictures imesema kuwa inatafuta njia mbadala za kuonyesha filamu ya ucheshi 'The Interview'
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Msaidizi mkuu wa Kim Jong-un afariki
Msaidizi mkuu wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amefariki katika ajali ya barabarani, shirika la habari la serikali la KCNA amesema.
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Kim Jong-Un aahirisha ziara ya Urusi
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un afutilia mbali ziara yake ya Urusi, kwanini?
10 years ago
BBCSwahili20 Dec
Obama:Filamu ya Kim Jong Un ionyeshwe
Rais wa marekani Barack Obama ameimbia Korea Kaskazini kuwa Marekani itajibu Korea kazkazini kuhusu filamu ya Kim Jong Un
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania