Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sing’oki mpaka uchaguzi ufanyike, ang’aka Mrema

 Augustine Mrema MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amesema hawezi kung’oka katika nafasi yake ya uongozi hadi hapo uchaguzi wa chama hicho utakapofanyika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SING’OKI NG’O TLP- MREMA

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party TLP,Agustine Lyatonga Mrema amesema hangoki ng’o  katika nafasi ya uenyekiti TLP.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magomeni jijini Dar es salaam leo,Mrema amesema hajavunja katiba ya TLP hivyo yeye ni mwenyekiti halali.
Mrema amesema watu wanampiga majungu wakiwemo na UKAWA katika kuhakikisha TLP inasambaratika ,lakini hawataweza pamoja na kikundi hicho cha panya road.
Amesema kikundi...

 

10 years ago

Habarileo

Makonda ang’aka

Paul Makonda.MKUU wa Wilaya ya Kinondoni , Paul Makonda (pichani) amesema wanaobeza uwezo wake kiutendaji baada ya kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo, wasubiri waone atakavyokuwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ang’aka mwenyekiti wa kijiji kutimuliwa

MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amewakemea viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Igurubi kwa kumfukuza kazi mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Selemani Mdeka, kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Jonathan ang'aka ye si mkwasi

Rais Goodluck Jonathan hivi karibuni ameng'aka kuwa jina lake kujumuishwa katika orodha ya marais tajiri Africa haina msingi .

 

9 years ago

Habarileo

Kerr ang’aka Kessy kutakiwa Yanga

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr ameutaka uongozi wa timu hiyo kuhakikisha unamwongezea mkataba beki wake wa kulia Hassan Kessy kutokana na mchango mkubwa aliokuwa nao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani:uchaguzi ufanyike haraka A.kati

Marekani imetoa wito kwa mamlaka nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati kufanya uchaguzi haraka

 

11 years ago

Mwananchi

‘Uchaguzi Serikali za Mitaa ufanyike mwakani’

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Jukwaa la Katiba Tanzania imetoa mapendekezo kwa Serikali kuahirisha uchaguzi wa Serikali za mitaa ili ufanyike pamoja na uchaguzi mkuu mwakani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sina dhambi ya kuuawa na bomu, ang’aka DED Iramba

DSC03315

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Halima Mpita, akizungumza na waandishi wa habari juu ya bahasha iliyokuwa na bomu lililolenga kumuawa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Iramba

MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida,Halima Mpita aliyenusurika kuawa kwa bomu lililokuwa limehifadhiwa ndani ya bahasha,amefunguka na kudai kwamba anaamini hana dhambi ambayo inaweza kusababisha apewe adhabu ya kuawa kwa...

 

11 years ago

GPL

MAMA WA LULU ATUPIWA TUHUMA NZITO, ANG’AKA

Mama mzazi wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAMA wa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupiwa tuhuma nzito kuwa ni mnywaji wa pombe sana hali inayomfanya mwanaye huyo alalamikie pembeni. Chanzo kilicho karibu na familia hiyo kimeliambia Amani juzi kuwa, Lulu amekuwa akijituma kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinakwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani