Sitti Mtemvu alidanganya umri, vielelezo vinamsuta, uwezekano wa kuvuliwa taji ni 100%
Vielelezo zaidi ya vitatu vinaonesha kuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu alidanganya umri wake wa kuzaliwa. Vielelezo hivyo vinaonesha kuwa mrembo huyo ana umri wa miaka 25, na sio 23 kama cheti chake ambacho kinaaminika kughushiwa kisemavyo. Passport yake, leseni ya udereva na taarifa za website rasmi ya ‘Idara ya Usalama wa ndani ya Marekani […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NePym3Na3Uk/VWVMEhjLsVI/AAAAAAADovs/5pd1OD-b0oE/s72-c/sitti.jpg)
Sitti Mtemvu kayajibu maswali yote? >> umri? Mtoto? mapenzi? sababu ya kujivua Taji? #Audio
![](http://2.bp.blogspot.com/-NePym3Na3Uk/VWVMEhjLsVI/AAAAAAADovs/5pd1OD-b0oE/s640/sitti.jpg)
Sitti Mtemvu kayajibu maswali yote? umri? Mtoto? mapenzi? sababu ya kujivua Taji? #Audio Posted by: Newsroom TZA May 26, 2015 General News sitti Sitti Abbas Mtemvu alishinda Taji la Miss TZ mwaka 2014, muda mfupi baadae alitangaza kujivua Taji hilo baada ya mengi kusikika.. watu wakaandika na kuhoji kuhusu umri wake, elimu yake, madai mengine ni yale kwamba ana mtoto… aliwahi kuyajibu kwa nyakati tofauti, alikuwa Live kwenye show ya Nirvana @EATV hii ni sehemu ya majibu yake.CREDIT:MILLARD...
10 years ago
GPL13 Oct
SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrQSv8I2weOw-sIRAgZmBmZYwd8-HA8YCk-W0VXvEiRdWl4PgJn1WY0v*b8AHpg2ydxWt0Y3fehZnToQ*LArB3U/1.jpg)
SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Sitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania
REDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu katika Ukumbi wa Mliamani City, jijini Dar es Salaam. Katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlQix8gYlXT*181j-yqQkKAHdGTfSIqi1-f72rOWR-ppDQ5ET9ND8gslO24mjCQqkZtCL-2Xkz2FrOye8ZHhyQc7/breakingnews.gif)
SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-DQouynUMtYSjtNYiJ9ZoumxVFUSLq5hVM1R4XfV9s42FK-cTTbDas48ZBhGu6gmDgFw2Y-Q25-TwR*rqqiahxq/sitti.jpg)
HAKUNA UBISHI SITTI MTEMVU KADANGANYA UMRI
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014
MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-tK7x5nteWDQ/VEwIdP5QkgI/AAAAAAADKkc/t0kYCCkDwkQ/s72-c/sitti2.jpg)
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, aamua kujivua taji mwenyewe