Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAKUNA UBISHI SITTI MTEMVU KADANGANYA UMRI

Stori: Mwandishi Wetu LILE sakata la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu kudaiwa kudanganya limeingia ukurasa mwingine kufuatia ufukunyuku wa gazeti hili kubaini kuwa, miaka 25 ndiyo sahihi kwake. Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu. Kufuatia ushindi alioupata siku ya shindano la kumsaka Miss Tanzania 2014 lililofanyika Oktoba 11, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Mlimani City, kuliibuka madai kwamba mrembo huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 25 NDIO UMRI SAHIHI WA MISS TANZANIA SITTI MTEMVU

Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu akionyesha cheti chake cha kuazaliwa kilichowakilishwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2014 kama kielelezo chake cha umri aliokua nao kinachoonyesha tarehe yake ya kuzaliwa kuwa ni 31 Mei 1991 wakati pasi yake ya kusafiria ianonyesha tarehe 31 Mei 1989 tarehe ambayo inaenda sambamba na leseni yake ya uendeshaji aliyokua akiitumia mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani ikiwemo fomu ya uhamijai aliyokua akijaza wakati akiingia nchini Marekani. Kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Sitti Mtemvu alidanganya umri, vielelezo vinamsuta, uwezekano wa kuvuliwa taji ni 100%

Vielelezo zaidi ya vitatu vinaonesha kuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu alidanganya umri wake wa kuzaliwa. Vielelezo hivyo vinaonesha kuwa mrembo huyo ana umri wa miaka 25, na sio 23 kama cheti chake ambacho kinaaminika kughushiwa kisemavyo. Passport yake, leseni ya udereva na taarifa za website rasmi ya ‘Idara ya Usalama wa ndani ya Marekani […]

 

10 years ago

Vijimambo

Sitti Mtemvu kayajibu maswali yote? >> umri? Mtoto? mapenzi? sababu ya kujivua Taji? #Audio


Sitti Mtemvu kayajibu maswali yote?  umri? Mtoto? mapenzi? sababu ya kujivua Taji? #Audio Posted by: Newsroom TZA May 26, 2015 General News sitti Sitti Abbas Mtemvu alishinda Taji la Miss TZ mwaka 2014, muda mfupi baadae alitangaza kujivua Taji hilo baada ya mengi kusikika.. watu wakaandika na kuhoji kuhusu umri wake, elimu yake, madai mengine ni yale kwamba ana mtoto… aliwahi kuyajibu kwa nyakati tofauti, alikuwa Live kwenye show ya Nirvana @EATV hii ni sehemu ya majibu yake.CREDIT:MILLARD...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU BOMU NO. 2

Stori:  Musa Mateja
MISS Tanzania 2014, Sitti Mtemvu juzi alilipua bobu la 2, baada ya kulazimisha safari ya kwenda kushiriki Miss World 2014 huku vigezo na masharti hasa yanayohusiana na cheti chake cha kuzaliwa yakipingana naye. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya Ukumbi wa Ngorongoro katika Hoteli ya JB Belmont, Posta Mpya jijini Dar es...

 

10 years ago

TheCitizen

Sitti Mtemvu: Here comes a new dawn

Events shape human history. That is a fact! These events bring out a stronger side of a human trait, or as they say, what doesn’t kill you makes you stronger.

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATOWEKA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
WAKATI suala la kudaiwa kudanganya umri likiwa bado ‘bichii’, taarifa zinadai kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ametoweka na hajulikani alipo, Risasi Mchanganyiko limechimbua stori kamili. Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu. Shughuli ya kumsaka mrembo huyo ili kujua undani wa sakata lake ilianzia Temeke ambako ilielezwa kuwa ndiko anakoishi....

 

10 years ago

TheCitizen

Did Sitti Mtemvu pass the age test?

>The moment we had waited for finally came.  The setting was at the JB Belmonte Hotel in Dar es Salaam, the same place where the boot camp had been held.  The last one week or so will go down in the history of Miss Tanzania as perhaps the most tumultuous in the 20 years of the pageantry.

 

9 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AIBUKA KAMPENI ZA FELLA

Gladness Mallya MISS Tanzania 2014 aliyevua taji kutokana na skendo ya kudanganya umri, Sitti Mtemvu juzikati aliibuka na kuwa kivutio kwenye kufunga kampeni za udiwani katika kata ya Kilungule, Temeke jijini Dar anakogombea bosi wa lebo ya muziki ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1W4HK8c

 

10 years ago

TheCitizen

Controversy arises as Sitti Mtemvu reigns

>It was a beauty contest that almost didn’t take place.For the first time since its reintroduction and probably in the entire history of the Tanzania edition of the pageant, a court case threatened to derail a whole year’s work.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani