Sitti Mtemvu: Here comes a new dawn
Events shape human history. That is a fact! These events bring out a stronger side of a human trait, or as they say, what doesn’t kill you makes you stronger.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yhCsS*vRHKg7pgM9fY-VPcxAxjqqdorke7b*w5vmF8dHp1ErHDN854oyE4sjhSwjcGaJeiKjuOlrbnMK8HND3brekC9-pE*h/sitt.jpg)
SITTI MTEMVU ATOWEKA
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
WAKATI suala la kudaiwa kudanganya umri likiwa bado ‘bichii’, taarifa zinadai kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ametoweka na hajulikani alipo, Risasi Mchanganyiko limechimbua stori kamili. Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu. Shughuli ya kumsaka mrembo huyo ili kujua undani wa sakata lake ilianzia Temeke ambako ilielezwa kuwa ndiko anakoishi....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejJLOoACm4K*68E1ltLbG9VjCoe5YurbT5K*YWvf1Q1RpCQ9GU3OQNmEqQvMWCmVcTW2Obxfk4gCFv9bMNHqdG*C/BACKAMANI.jpg)
SITTI MTEMVU BOMU NO. 2
Stori:Â Musa Mateja
MISS Tanzania 2014, Sitti Mtemvu juzi alilipua bobu la 2, baada ya kulazimisha safari ya kwenda kushiriki Miss World 2014 huku vigezo na masharti hasa yanayohusiana na cheti chake cha kuzaliwa yakipingana naye. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya Ukumbi wa Ngorongoro katika Hoteli ya JB Belmont, Posta Mpya jijini Dar es...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*Uj7aeolEUbTMgkO5c7*tcWqeEjO2VZLm9JBx0CtXiQynX6ejgRPz69lUFlQyUFU0MOwBL*NXSw8j*j58wpmal0/MMGM3002.jpg?width=650)
SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014
Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely. Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji… ...
10 years ago
TheCitizen17 Oct
Controversy arises as Sitti Mtemvu reigns
>It was a beauty contest that almost didn’t take place.For the first time since its reintroduction and probably in the entire history of the Tanzania edition of the pageant, a court case threatened to derail a whole year’s work.
10 years ago
TheCitizen24 Oct
Did Sitti Mtemvu pass the age test?
>The moment we had waited for finally came. The setting was at the JB Belmonte Hotel in Dar es Salaam, the same place where the boot camp had been held. The last one week or so will go down in the history of Miss Tanzania as perhaps the most tumultuous in the 20 years of the pageantry.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO1CEJb1uBqCUDJS85uRdPlBktgta8AgomtQXAentBVI6yMMwT8J59wXfuLAqHTc5oNUdYq7FJ6UCcGrZbex6fQP/Sitti.jpg?width=650)
SITTI MTEMVU AIBUKA KAMPENI ZA FELLA
Gladness Mallya MISS Tanzania 2014 aliyevua taji kutokana na skendo ya kudanganya umri, Sitti Mtemvu juzikati aliibuka na kuwa kivutio kwenye kufunga kampeni za udiwani katika kata ya Kilungule, Temeke jijini Dar anakogombea bosi wa lebo ya muziki ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1W4HK8c
10 years ago
TheCitizen17 Oct
COVER: Controversy arises as Sitti Mtemvu reigns
>It was a beauty contest that almost didn’t take place.For the first time since its reintroduction and probably in the entire history of the Tanzania edition of the pageant, a court case threatened to derail a whole year’s work.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-DQouynUMtYSjtNYiJ9ZoumxVFUSLq5hVM1R4XfV9s42FK-cTTbDas48ZBhGu6gmDgFw2Y-Q25-TwR*rqqiahxq/sitti.jpg)
HAKUNA UBISHI SITTI MTEMVU KADANGANYA UMRI
Stori: Mwandishi Wetu LILE sakata la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu kudaiwa kudanganya limeingia ukurasa mwingine kufuatia ufukunyuku wa gazeti hili kubaini kuwa, miaka 25 ndiyo sahihi kwake. Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu. Kufuatia ushindi alioupata siku ya shindano la kumsaka Miss Tanzania 2014 lililofanyika Oktoba 11, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Mlimani City, kuliibuka madai kwamba mrembo huyo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania