Skylight Band inakukaribisha Thai Village Ijumaa hii katika msimu huu wa mapumziko mwezi Disemba
Divas wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki wakiongozwa na Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 (katikati), Digna Mbepera (kulia) pamoja na Bela Kombo.
Aneth Kushaba AK47 sambamba na Bela Kombo wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo akifanya yake jukwaani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_00011.jpg)
SKYLIGHT BAND INAKUKARIBISHA THAI VILLAGE IJUMAA HII
10 years ago
Dewji Blog28 Nov
Njoo tuage mwezi Novemba kwa staili ya aina yake na Skylight Band ikiwemo Red carpet treatment, Ijumaa hii Thai Village
Kutoka kushoto ni Dinga Mbepera, Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Bella Kombo wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki ambapo ratiba ya Skylight Band wiki hii tukifunga mwezi Novemba kwa mwaka 2014 ni kama ifutavyo.
IJUMAA 28.11.14: Kama kawaida tunaaga mwezi aina yake, skylight friday ndani ya Thai village masaki,special show ya mwisho wa mwezi kuwashukuru wadau wetu, Kutakua na Red carpet treatment, kutakua free shots of...
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Skylight Band inakukaribisha leo Thai Village kabla ya kuelekea jijini Arusha Jumapili hii
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 (kulia)
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na wenzake ambao ni Sam Mapenzi(kulia) pamoja na Ashura Kitenge (kushoto)
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake (hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village,...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_00162.jpg)
NJOO TUAGE MWEZI NOVEMBA KWA STAILI YA AINA YAKE NA SKYLIGHT BAND IKIWEMO RED CARPET TREATMENT, IJUMAA HII THAI VILLAGE
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0031.jpg)
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUWAPA RAHA MASHABIKI WAKE, NI IJUMAA HII THAI VILLAGE
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0303.jpg)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE, NI IJUMAA HII TENA PALE THAI VILLAGE
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Skylight Band yazidi kuwapa shangwe mashabiki ndani ya kiota cha Thai Village, tukutane tena Ijumaa hii
Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Ijumaa ya leo pia sio ya kukosa mwendo ni ule ule ma-style mapya kibao yatachezeka!
Amsha amsha ikianza taratibu….hakuna kama Skylight Band ndio habari ya mujini…!
Majembe ya Skylight Band…Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakifanya yao jukwaani.
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0009.jpg?width=640)
SKYLIGHT BAND IJUMAA YA KWANZA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE