SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_03261.jpg)
Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Skylight Band yatikisa jiji la Dar Nyama Choma Festival
Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival huku Skylight Band wakitoa burudani ya aina yake.
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Digna Mbepera kwa mashabiki wa muziki wa Live Band kwenye tamasha la Nyama...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0472.jpg)
SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR KWENYE 'NYAMA CHOMA FESTIVAL' NDANI YA VIWANJA VYA POSTA
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0020.jpg)
SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR, USIKOSE LEO THAI VILLAGE NA KESHO NDANI YA JEMBE BEACH JIJINI MWANZA TAMASHA LA NYAMA CHOMA
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
Skylight Band yakonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Nyama Choma Festival
Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba.
Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama “Mashauzi” mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo pichani).
Asali ya warembo Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la...
10 years ago
Dewji Blog24 Oct
Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma
Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.
Digna Mbepera akiimba kwa...
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Skylight Band washeherekea funga mwezi na mashabiki wao kwa burudani ya nguvu, kesho jumamosi tukutane Nyama Choma Festival
Joniko Flower (kulia) akiongoza mashambulizi huku akipewa tafu ya kutoshaaa na Aneth Kushaba (katikati) na Sony Masamba (kushoto).
Kama ilivyo kawaida ya Bendi yako Matata na inayokimbiza Tanzania kwa sasa Ijumaa ya Tarehe 31.11.2014 walipiga bonge moja la show pale Masaki Thai Village, Show hiyo iliandaliwa maalumu kuwashukuru mashabiki wao wanaowapiga sapoti ya nguvu kwenye show zao za kila Mwisho wa wiki.Kama Kawaida Mlangoni ulikuwa ukiingia unapata Glass moja Ya Tequila.Ratiba Yetu...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu yatikisa jiji la Dar Escape One
Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya “Kariakoo” uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.
Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.
wageni wakihudumiwa Tequila shots!
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ohsx97g6afY/VEpWcDS_hGI/AAAAAAAGtIw/TM3M-5sA6i4/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)