Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sky Light Band kupamba Nyama Choma Festival Mwanza Jumamosi Hii.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band washeherekea funga mwezi na mashabiki wao kwa burudani ya nguvu, kesho jumamosi tukutane Nyama Choma Festival

1

Joniko Flower  (kulia) akiongoza mashambulizi huku akipewa tafu ya kutoshaaa na Aneth Kushaba (katikati) na Sony Masamba (kushoto).

Kama ilivyo kawaida ya Bendi yako Matata na inayokimbiza Tanzania kwa sasa Ijumaa ya Tarehe 31.11.2014 walipiga bonge moja la show pale Masaki Thai Village, Show hiyo iliandaliwa maalumu kuwashukuru mashabiki wao wanaowapiga sapoti ya nguvu kwenye show zao za kila Mwisho wa wiki.Kama Kawaida Mlangoni ulikuwa ukiingia unapata Glass moja Ya Tequila.Ratiba Yetu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatikisa jiji la Dar Nyama Choma Festival

DSC_0326

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.

DSC_0332

Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival huku Skylight Band wakitoa burudani ya aina yake.

DSC_0010

Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Digna Mbepera kwa mashabiki wa muziki wa Live Band kwenye tamasha la Nyama...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL‏

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival…

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yakonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Nyama Choma Festival

DSC_0020

Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba.

DSC_0025

Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama “Mashauzi” mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo pichani).

DSC_0030

Asali ya warembo Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL‏

Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba. Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama "Mashauzi" mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja October 25, itafanyika Jembe Beach

Lile tamasha kubwa la Nyama Choma sasa linahamia pande za Mwanza aka Rock City ambako nyama za mbuzi, ng’ombe zitahusika pale kati. Awamu hii wakazi wa Mwanza watakutana kumingle na kupata nyama zilizochomwa kwa ustadi mkubwa na wachomaji mbalimbali kwenye kiota kinachotikisa kwa sasa jijini humo, Jembe Beach kilichopo Malimbe, Nyegezi tarehe 25, October. Jikumbushe […]

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.

TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya  Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Bongo5

Nyama Choma Festival: Dodoma ni wikiendi hii Royal Village, Dar ni Dec 6, UDSM Grounds

Lile tamasha maarufu zaidi la Nyama Choma sasa linahamia pande za Dodoma. Litafanyika Jumamosi hii, November 8 katika kiota cha Royal Village. Usikubali kupitwa na nyama za uhakika zilizochomwa na wachomaji bora zaidi mjini Dodoma, bila kusahau Heineken baridi, juisi za kila aina na vinjwaji vingine. Tamasha hili litarejea tena jijini Dar es Salaam, December […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani