Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja October 25, itafanyika Jembe Beach
Lile tamasha kubwa la Nyama Choma sasa linahamia pande za Mwanza aka Rock City ambako nyama za mbuzi, ng’ombe zitahusika pale kati. Awamu hii wakazi wa Mwanza watakutana kumingle na kupata nyama zilizochomwa kwa ustadi mkubwa na wachomaji mbalimbali kwenye kiota kinachotikisa kwa sasa jijini humo, Jembe Beach kilichopo Malimbe, Nyegezi tarehe 25, October. Jikumbushe […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.
Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015Kwa picha zaidi BOFYA LINK HIIhttps://www.facebook.com/media/set/?set=a.753558134705471.1073741852.164302240297733&type=3
10 years ago
Dewji Blog24 Oct
Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma
Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.
Digna Mbepera akiimba kwa...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR, USIKOSE LEO THAI VILLAGE NA KESHO NDANI YA JEMBE BEACH JIJINI MWANZA TAMASHA LA NYAMA CHOMA
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziNYAMA CHOMA FESTIVAL
11 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziKaymu Partners with the Nyama choma festival
Kaymu Tanzania’s Head of...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Nyama Choma Festival a culture one should never miss
DJ Micho entertaining the Heineken lovers (not in picture) during the Nyama Choma Festival.
Tanzania’s prime Nyama Choma Festival which was held on September 5th 2015 brought together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation.
The festival organized by Alta Vista Events and indulged fans to a variety of sumptuous flame grilled meats plus electric live entertainment from a line-up of talented entertainers, including AY, Mwana FA and FM Academia while enjoying international...
10 years ago
Michuzi