Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Nyama Choma Festival-Dar es Salaam 30th May


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Nyama Choma Festival thrills thousands of Dar revelers

The Nyama Choma Festival ended in style last Saturday with thousands of consumers being treated to a variety of sumptuous flame grilled meats. Held at the Kijitonyama postal grounds in Dar es Salaam the event, organised by Carol Ndosi, brought together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation. 
Heineken, which is a proud partner of the event, gave its VIP consumers a unique experience at the Heineken marquee, where the premium beer flowed and fans got to enjoy themselves...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Jinsi Nyama Choma Festival ilivyofana December 6, Dar

Wakazi wa Dar es Salaam, Jumamosi ya December 6 walijumuika kwenye awamu nyingine ya tamasha la Nyama Choma lililofanyika kwenye viwanja vya chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM. Warembo wakifurahia tamasha la Nyama Choma, Dar Watu wa rika mbalimbali walijumuika pamoja na washkaji au familia zao kufurahia nyama choma zilizotayarishwa na wachoma nyama mahiri […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatikisa jiji la Dar Nyama Choma Festival

DSC_0326

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.

DSC_0332

Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival huku Skylight Band wakitoa burudani ya aina yake.

DSC_0010

Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Digna Mbepera kwa mashabiki wa muziki wa Live Band kwenye tamasha la Nyama...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL‏

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival…

 

10 years ago

Michuzi

The Nyama Choma Festival Dar 6 Desemba -Jipatie Tiketi Yako Sasa Kwa sh 7000 tu.

Tembelea Vituo Vya Mauzo Ujipatie Tiketi Yako Sasa.1.Samaki Samaki-Mlimani City na Posta2.Tripple 7  - Kawe3.Didis - Oysterbay4.Born 2 Shine - Mwenge

 

10 years ago

Bongo5

Nyama Choma Festival: Dodoma ni wikiendi hii Royal Village, Dar ni Dec 6, UDSM Grounds

Lile tamasha maarufu zaidi la Nyama Choma sasa linahamia pande za Dodoma. Litafanyika Jumamosi hii, November 8 katika kiota cha Royal Village. Usikubali kupitwa na nyama za uhakika zilizochomwa na wachomaji bora zaidi mjini Dodoma, bila kusahau Heineken baridi, juisi za kila aina na vinjwaji vingine. Tamasha hili litarejea tena jijini Dar es Salaam, December […]

 

10 years ago

Michuzi

NYAMA CHOMA FESTIVAL

NYAMA CHOMA FESTIVAL-DAR 6 SEPT TICKETS ZINAUZWA SAMAKI SAMAKI YA POSTA NA YA MLIMANI CITY KWA SH 7000 TU.GETINI SH 10,000.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani