Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Snura Ampiga vijembe Wema Sepetu

Aliyewahi kuwa swahiba  wa mbunge  mtarajiwa  Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo  wa kumpiga vijembe Wema.

“ Naepukana na unafiki  tena naweza kusema ni  roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yanatumia muda  mwingi  kuwadis wengine, mfano hivi sasa wakata Diamond anawania  tuzo za kimataifa  eti kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema Snura.

Snura anadai kuwa  siku hizi makundi  ambayo  yanaundwa na wasanii au wapenzi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND AMPIGA VIJEMBE WEMA SEPETU

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida. Diamond Platnumz. Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni ampiga vijembe Mbabazi

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameijibu video ya waziri mkuu na katibu mkuu wa zamani Amama Mbabazi ya kutangaza nia yake ya kuwania Urais.

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge

Mzee Majuto  kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;

Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...

 

9 years ago

GPL

ODAMA AMPIGA ‘PUSHI’ WEMA ACHEZE NA JK

Jeniffer Kyaka 'Odama' KAMA kawa ni Ijumaa nyingine ambayo mapaparazi wetu wanaotii amri za mkuu wao aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili, zilizopo Bamaga-Mwenge, jijini Dar waliokuwa kona mbalimbali kukutiririshia matukio ni Issa Mnally ‘Mzee wa GX 100’ aliyekuwa likizo Kijiji cha Likunja mkoani Lindi, Dustan Shekidele ‘Mkude Simba Mzee wa Mji kasoro Bahari’ (Morogoro), Musa Mateja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Snura: Wema ndiye aliyenifungulia njia

MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ au ‘Mamaa Majanga’, amefunguka kuwa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, ndiye aliyemfungulia milango ya kuelekea kwenye mafanikio ya...

 

11 years ago

GPL

SNURA: WEMA NDIYO ALIYENITOA KIMUZIKI

Snura Mushi ‘Mama Majanga’. Stori: Gladness Mallya
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshukuru aliyekuwa rafiki yake wa damu, Wema Sepetu kwa kuwa ndiye aliyembunia vazi la muziki na fedha ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani