SNURA: WEMA NDIYO ALIYENITOA KIMUZIKI
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5efdlo6kJxsZQo1LV8ccbVvzRZDrDQEL3ouzJWkGMgsjEN7zOt-zyuykRqKVB7fw*5*TDYME3XlPYGaYEqOlyC/snura.jpg?width=650)
Snura Mushi ‘Mama Majanga’. Stori: Gladness Mallya MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshukuru aliyekuwa rafiki yake wa damu, Wema Sepetu kwa kuwa ndiye aliyembunia vazi la muziki na fedha ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Snura: Wema ndiye aliyenifungulia njia
MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ au ‘Mamaa Majanga’, amefunguka kuwa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, ndiye aliyemfungulia milango ya kuelekea kwenye mafanikio ya...
10 years ago
Bongo Movies06 Jul
Snura Ampiga vijembe Wema Sepetu
Aliyewahi kuwa swahiba wa mbunge mtarajiwa Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo wa kumpiga vijembe Wema.
“ Naepukana na unafiki tena naweza kusema ni roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yanatumia muda mwingi kuwadis wengine, mfano hivi sasa wakata Diamond anawania tuzo za kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema Snura.
Snura anadai kuwa siku hizi makundi ambayo yanaundwa na wasanii au wapenzi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJD*oNmDWICP6rsjfxdjThp7t6nOVaAa5oGFBQEqGMk-SMisDEzseEPVB2sOVLWZ-LSRUw*Zu-iYER6LKqjNWPCF/SNURA.jpg?width=650)
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mimi na Wema ndiyo tunajua ukweli
10 years ago
CloudsFM15 Aug
DIAMOND:MARAFIKI NDIYO WANAOMPOTEZA WEMA SEPETU
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida.
Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na faida na kutumia fedha kufanya mambo ya maendeleo kuliko kuvifaidisha viwanda vya...
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Hii Ndiyo Mipango Mipya ya Wema Sepetu
Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.
![Wema Sepetu na Martin Kadinda](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/WEMAA134.jpg)
Wema Sepetu na Martin Kadinda
Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.
“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.
“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na...
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Wema: Safari Yangu ya Siasa Ndiyo Kwanza Inaanza
Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo.
Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye muamko wa vijana Tanzania. Bigger things loading.. Most of all Nilizaliwa nikiwa katika Chama Cha Mapinduzi na nitakufa nikiwa...
9 years ago
Bongo Movies28 Dec
Hivi Ndiyo Wema na Jokate Walivyopokelewa Stejini na King Kiba
Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba juzi pande za Escape One, Mikocheni alifanya shoo ya kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka Mpya 2016 ambapo aliitambulisha rasmi bendi yake mpya iitwayo 4RealDancers.
Shangwe kubwa lilisikika pale ambapo King Kiba alipowa ‘surprise’ mashabiki wake kwakuwapandisha stejini mastaa warembo, Wema Sepetu na Jokate ‘Kidoti’ kama unavyoona kwenye picha hapo chini.