Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hivi Ndiyo Wema na Jokate Walivyopokelewa Stejini na King Kiba

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba juzi pande za Escape One, Mikocheni alifanya shoo ya kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka Mpya 2016 ambapo aliitambulisha rasmi bendi yake mpya iitwayo 4RealDancers.

Shangwe kubwa lilisikika pale  ambapo King Kiba alipowa ‘surprise’ mashabiki wake  kwakuwapandisha stejini mastaa warembo, Wema Sepetu na Jokate ‘Kidoti’ kama unavyoona kwenye picha hapo chini.

JOKATE345 JOKATE342
JOKATE432
WEMA33

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ali Kiba ampagawisha Jokate

PhotoGrid_1443334663463NA CHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.

Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.

“Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema...

 

9 years ago

GPL

JOKATE, KIBA HAKUNA NDOA!

Brighton Masalu
Imebuma? Uwezekano wa Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba kutimiza ndoto yao ya kuoana na kuishi maisha ya mume na mke, unadaiwa kugonga mwamba kufuatia familia za pande zote kutoridhia uhusiano wao, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba wakipozi kimahaba. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, mmoja wa watu wa karibu na...

 

9 years ago

GPL

MAHABA YA JOKATE, KIBA GUMZO KENYA

Musa Mteja MAHABA nigaragaze! Mtoto mzuri Jokate Mwegelo na staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba wameoneshana mahaba hadharani nchini Kenya.Ishu hiyo ilijiri juzikati wakati Kiba alipokwenda kwenye ‘project’ ya Coke Studio inayoshirikisha wasanii mbalimbali duniani kurekodi nyimbo za pamoja, ndipo wawili hao walipotumia mwanya huo kufanya yao.   ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1WNSxBE ...

 

9 years ago

GPL

JOKATE, KIBA PICHA SASA ZINAIVA

MAYASA MARIWATA NA BONIPHACE NGUMIJE MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba, wamethibitisha kuwa wana maelewano mazuri (picha zinaiva) baada ya mwishoni mwa wiki kuonekana pamoja katika bonanza maalum la wanafunzi, lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba wakikumbatiana. Tukio...

 

9 years ago

GPL

JOKATE, KIBA WAGEUKA GUMZO TAIFA

Waandishi Wetu MASTAA wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mkali wa kibao cha Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, juzikati waligeuka kivutio ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar mara baada ya kuwasili wakiwa katika pozi la kimahaba, pasipo kujali macho kodo ya mashabiki wa soka waliofurika uwanjani hapo. Mtaa wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mkali wa kibao cha...

 

9 years ago

GPL

JOKATE AMTAMBULISHA KIBA KWAO, AKATALIWA

Musa mateja Imevuja! Gumzo la ndoa ya staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ inadaiwa kupigwa zengwe kama ilivyowahi kutokea kwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufuatia madai ya mwanadada huyo kumtambulisha jamaa huyo kwao kisha kukataliwa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TLfgK2 ...

 

10 years ago

GPL

JOKATE:: SIJAFUKUZWA NYUMBANI KWA ALI KIBA

Shani ramadhani Not true! Staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekanusha vikali madai kwamba hivi karibuni alitimuliwa nyumbani kwa ‘mtu’ wake, Ali Saleh Kiba maeneo ya Kunduchi-Beach, Dar. Awali ilisemekana kwamba, mama mzazi wa Kiba ndiye aliyemtimua Jokate kwa kigezo kuwa hamkubali kwani mwanaye ana mchumba mwingine ambaye yupo nje ya nchi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UhirLT ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani