MAHABA YA JOKATE, KIBA GUMZO KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65BIVSOjdtqzp4BkyTJrjpgN4mcbrI7NCuZX1KCOXfGAQywfbenpg5vTSy2M8rU49RNOEPTwQ1IaDtXofKYb8mI/Jokate.gif?width=650)
Musa Mteja MAHABA nigaragaze! Mtoto mzuri Jokate Mwegelo na staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba wameoneshana mahaba hadharani nchini Kenya.Ishu hiyo ilijiri juzikati wakati Kiba alipokwenda kwenye ‘project’ ya Coke Studio inayoshirikisha wasanii mbalimbali duniani kurekodi nyimbo za pamoja, ndipo wawili hao walipotumia mwanya huo kufanya yao.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1WNSxBE ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZhVsrLD0LnheSDANfBowX3BHxQ1U9m-LvtORAAeYsgc0JDCifLR*JweenS1bdPvow4sIpgYgYaA0t7XJ3kZWdFa*kpxxVq0W/JOKATE.jpg?width=650)
JOKATE, KIBA WAGEUKA GUMZO TAIFA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TJP9R5X7WnduUic2Arb8YLrOHu-LM0R*K*di9fYcfEk8SRHi7c8xX9pVcQDjqjIiM5q8AJAt-elRB*mZ79evJ4LdS9i8GFZu/Kiba.jpg)
JOKATE, KIBA HAKUNA NDOA!
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Ali Kiba ampagawisha Jokate
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.
Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.
“Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AI-C-DD*hSfTq8z6jaX8ADAWjKBR57zgBIiYPGy2jlt-jFanW7-WDpQNmT4Ow9qwJP2KceEBpIPdskKLIRno5AXqjmXhSx-6/Jokatez.jpg?width=650)
JOKATE, KIBA PICHA SASA ZINAIVA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2cgQuBR1Cog*54TGXGpWl5s*PAI4hk6CKJn0rRyIk57LO-8jbBNxAeN0sCgwjsrgtyO3DK660bprpl8YyEJdjYEIXfXGGF*i/FRONTWIKIENDA.gif?width=650)
JOKATE AMTAMBULISHA KIBA KWAO, AKATALIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhziJicntjVV26tQbHiu6EvZaI7qgelzcOXjwAf8o0POMpRZQn2Ub8alaYjWbAyfv0SvfbXOQiytMUWNGCFqeOV3m/Kiba.jpg)
JOKATE:: SIJAFUKUZWA NYUMBANI KWA ALI KIBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfDy3WEfk8I-bZ1mcMegZ1XdTM4jk4gcx16KKjhX8cMBzEgTzQsnuj6jxTCdj98BOlrwkZ27yLLkZdzMmKAuPYUA/Kiba.jpg)
JOKATE: ALI KIBA NI KILA KITU KWANGU