Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOKATE:: SIJAFUKUZWA NYUMBANI KWA ALI KIBA

Shani ramadhani Not true! Staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekanusha vikali madai kwamba hivi karibuni alitimuliwa nyumbani kwa ‘mtu’ wake, Ali Saleh Kiba maeneo ya Kunduchi-Beach, Dar. Awali ilisemekana kwamba, mama mzazi wa Kiba ndiye aliyemtimua Jokate kwa kigezo kuwa hamkubali kwani mwanaye ana mchumba mwingine ambaye yupo nje ya nchi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UhirLT ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Bozi Namchukia Jokate kwa Sababu ya Kuwa na Ali Kiba!

KAMA kawaida ya kolamu hii kuwaletea wasanii mbalimbali na kuwabananisha na maswali kedekede ambayo yamekuwa yakiwaumiza vichwa wasomaji wa gazeti hili kwa kushindwa kuelewa undani wake.

Alhamisi ya leo tunaye msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye amefungukia mswali mbalimbali kama ifuatavyo:

Msomaji: Nakukubali sana hauna makuu, ila nilisikia umetembea na mastaa wengi, ni kweli na huwa unatumia kinga?

Bozi: Kama ulivyosikia ndivyo ilivyo, kinga ni muhimu huwa nazingatia sana...

 

9 years ago

Mtanzania

Ali Kiba ampagawisha Jokate

PhotoGrid_1443334663463NA CHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.

Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.

“Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema...

 

10 years ago

GPL

JOKATE: ALI KIBA NI KILA KITU KWANGU

Na Musa Mateja
MREMBO mchakarikaji Bongo,  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, juzikati aliamua kuvunja ukimya na kusema kuwa mwanamuziki Ali Kiba kwa sasa ndiye kila kitu katika mambo yake mengi ya kimaisha. Mrembo mchakarikaji Bongo,  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Akizungumza na Ijumaa Jokate alisema, watu wanaongea sana kuhusiana na ukaribu wao bila kujua kuwa Kiba ni mtu wake kitambo na sasa ndiye kila kitu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Jokate Amtambulisha Ali Kiba Apigwa Chini Kwao

Imevuja! Gumzo la ndoa ya staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ inadaiwa kupigwa zengwe kama ilivyowahi kutokea kwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufuatia madai ya mwanadada huyo kumtambulisha jamaa huyo kwao kisha kukataliwa.

 

MINONG’ONO

 

Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa wawili hao, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo wawili hao walihudhuria kwenye harusi ya dada wa Jokate hivyo kuibua...

 

10 years ago

Vijimambo

ALI KIBA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI

 Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Ali Kiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe alipo Ali Kiba, hata hivyo hawakufanikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !

ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASA
ALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA


WAANDAAJI "DMK GLOBAL
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani