ALI KIBA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-T85m6vlaQos/VUSJ7TT1O2I/AAAAAAABNK0/NNYhdfBDo7I/s72-c/11200605_977266418984073_4328749233319315744_n.jpg)
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.
Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Ali Kiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe alipo Ali Kiba, hata hivyo hawakufanikiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PHbtIw7zbFs/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgY0uringvULvw5*z53yXRIZaJorOdw68V7Y7G*gxZdAyhdIgR2EmanXJP0jZzlqvphrSTycVr5rcFMPIHVfkqPA/nishagari.jpg)
NISHA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE, APORWA MALI
10 years ago
GPLALI KIBA AVAMIWA USIKU WA KUAMKIA LEO
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
Zaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi
Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa.
[PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi baada ya kuvamia jiji la Paris, Ufaransa nje ya uwanja wa uliokuwa ukichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani (Stade de France).
Ripoti zinasema wakati mchezo huo ukiendelea ilisikika milio ya mabomu matatu (3) yakilia nje ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhziJicntjVV26tQbHiu6EvZaI7qgelzcOXjwAf8o0POMpRZQn2Ub8alaYjWbAyfv0SvfbXOQiytMUWNGCFqeOV3m/Kiba.jpg)
JOKATE:: SIJAFUKUZWA NYUMBANI KWA ALI KIBA
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bongo 5 Media Group, inayoratibu tuzo hizo, Nancy Sumari, wasanii wengine walio katika kipengele hicho ni Elias Barnaba, Ommy Dimpoz na Jux.
Katika kipengele cha msanii bora wa kike wanaochuana ni Lady Jaydee, Linah,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thz3bpEX0uPa1psmcjJFuDD4bjeN1Wc6PAKhkoJx1acSlgJv1FsBnivcLRYmcRLckqa9KBEMicUZmUUlhOaDlmK/ALIKIBA.jpg?width=650)
ALI KIBA: LULU ANAFAA KUWA MKE
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Bozi Namchukia Jokate kwa Sababu ya Kuwa na Ali Kiba!
KAMA kawaida ya kolamu hii kuwaletea wasanii mbalimbali na kuwabananisha na maswali kedekede ambayo yamekuwa yakiwaumiza vichwa wasomaji wa gazeti hili kwa kushindwa kuelewa undani wake.
Alhamisi ya leo tunaye msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye amefungukia mswali mbalimbali kama ifuatavyo:
Msomaji: Nakukubali sana hauna makuu, ila nilisikia umetembea na mastaa wengi, ni kweli na huwa unatumia kinga?
Bozi: Kama ulivyosikia ndivyo ilivyo, kinga ni muhimu huwa nazingatia sana...