JOKATE, KIBA HAKUNA NDOA!

Brighton Masalu Imebuma? Uwezekano wa Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba kutimiza ndoto yao ya kuoana na kuishi maisha ya mume na mke, unadaiwa kugonga mwamba kufuatia familia za pande zote kutoridhia uhusiano wao, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba wakipozi kimahaba. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, mmoja wa watu wa karibu na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa

9 years ago
Mtanzania29 Dec
Ali Kiba ampagawisha Jokate
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.
Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.
“Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema...
10 years ago
GPL
JOKATE AMTAMBULISHA KIBA KWAO, AKATALIWA
10 years ago
GPL
MAHABA YA JOKATE, KIBA GUMZO KENYA
10 years ago
GPL
JOKATE, KIBA PICHA SASA ZINAIVA
10 years ago
GPL
JOKATE, KIBA WAGEUKA GUMZO TAIFA
10 years ago
GPL
JOKATE:: SIJAFUKUZWA NYUMBANI KWA ALI KIBA