SNURA ANG’ANG’ANIA KUISHI BAA

Hamida Hassan KATIKA kile kinachoonekana kama king’ang’anizi, staa wa muziki wa Mduara, Snura Mushi ameibuka na kusema hawezi kuhama nyumba anayoishi hivi sasa, ambayo upande mmoja ni baa kwa vile anaishi kwa malengo na si kufuata watu wanavyosema. Staa wa muziki wa Mduara, Snura Mushi. “Kila kukicha nasikia maneno yakizagaa kuwa ninakaa baa hilo litasemwa sana wala sina mpango wa kuhama, nina malengo yangu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 May
Wang’ang’ania kuishi ndani ya hifadhi ya Taifa
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-
MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...
9 years ago
Habarileo20 Dec
Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.
11 years ago
Habarileo04 May
Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa
PAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Meya Bukoba ang’ang’ania kiti
LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...
11 years ago
GPL
JACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU
11 years ago
GPL
MEYA BUKOBA ANG’ANG’ANIA KITI
10 years ago
Habarileo27 Aug
Ukawa yang’ang’ania Jangwani
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umesema utafanya mkutano wake wa ufunguzi wa kampeni za urais katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam licha ya kuambiwa uwanja huo tayari ulikuwa umelipiwa.
11 years ago
Tanzania Daima25 May
UKAWA wamng’ang’ania Kikwete
WANANCHI wa Wilaya ya Tunduma, Mkoa wa Mbeya, wamewataka viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutorudi kwenye vikao vya Bunge Maalumu la Katiba hadi muafaka wa serikali tatu...