Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la hisa la Asia lazidi kuporomoka

Dunia inamkia siku nyingine ya anguko la soko la hisa huko bara la Asia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

China kuzuia kuporomoka kwa soko la hisa

Hisa zimeshuka tena China Jumanne wakati serikali ikijitahidi kukabiliana na hilo, huku bei za hisa zinaonekana kuporomoka.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hisa za China zazidi kuporomoka

Hisa zimeanguka kwa asilimia 1.27 zaidi na kuzidisha hofu kuhusu uchumi duniani hata baada ya benki kuu kupunguza viwango vya riba

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Masoko ya hisa barani Asia yaanguka

Hisa nchini Uchina zimeendelea kushuka huku wasiwasi kuhusu ukuwaji mdogo wa uchumi nchini humo pamoja na msukosuko wa soko hilo ukisababisha hofu miongoni mwa wafanyibiashara.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Swala yaingia soko la hisa


NA MWANDISHI WETUKAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala, imeingizwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), baada ya kukidhi vigezo vya masoko ya mtaji .Swala imekuwa kampuni ya kwanza ya mafuta na gesi kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuingia kwenye soko la hisa. Hafla ya kuingizwa DSE, ilifanyika juzi  mjini Dar es Salaam, ambapo Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,  ambaye alikuwa mgeni wa heshima, alipiga kengele kuashiria uzinduzi wa kampuni hiyo kuingia DSE. Akizungumza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa la Ugiriki lafunguliwa

Soko la hisa nchini Ugiriki limefunguliwa muda mfupi uliopita, baada ya kufungwa kwa miezi mitano.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali watakiwa kuchangamkia Soko la Hisa

Wajasiriamali na wafanyabiashara mkoani Mtwara, wamehimizwa kuchangamkia fursa ya kukuza mitaji inayotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE kupitia kitengo chake cha kukuza wajasiriamali na kujipatia mitaji itakayokuza na kuimalisha biashara zao.

 

9 years ago

Michuzi

SOKO LA HISA NCHINI LAPOROMOKA KWAASILIMIA 62.

Na Ally Daud –MAELEZOIdadi ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam DSE limeshuka kwa asilimia 62 kutoka shilingi bilioni 6.4 hadi kufikia shilingi bilioni 2.4 ambapo zimeuzwa na kununuliwa katika soko zimeshuka kutoka milioni 4.3 hadi kufikia milioni 2.7.
Akiongea na waandishi wa habari Meneja Miradi na Biashara waDar es salaam Stock Exchange  Bw. Patrick  Mususa alisema kuwa hata hvyo idadi ya mtaji katika soko umekuwa kutoka tilioni 21.9 hadi tilioni 22.3 ikiwa pia na idadi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani