Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali watakiwa kuchangamkia Soko la Hisa

Wajasiriamali na wafanyabiashara mkoani Mtwara, wamehimizwa kuchangamkia fursa ya kukuza mitaji inayotolewa na Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE kupitia kitengo chake cha kukuza wajasiriamali na kujipatia mitaji itakayokuza na kuimalisha biashara zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Kigoma watakiwa kuchangamkia maonyesho ya wajasiriamali

WANANCHI wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kutumia fursa waliyoipata ya maonyesho ya wajasiriamali wadogo na wa kati Kanda ya Kati kwa kujitangaza kibiashara na kujifunza kutoka kwa wenzao ndani...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki awataka wajasiriamali kuchangamkia masoko

1

Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo John Mahaley akitoa neno kwenye Maonesho ya Bidhaa za Wajasiriamali wa Bagamoyo 2014, kwenye viwanda vya kituo cha mabasi Bagamoyo.

Hussein Makame-MAELEZO

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Joyce Mapunjo, amewataka wajasiriamali wa Bagamoyo na Watanzania kwa ujumla kuwa wabunifu na kuongeza thamani za bidhaa zao ili kuhakikisha wanafaidika na fursa za masoko ya bidhaa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ameyasema hayo wakati akifungua...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraVIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiajiri kupitia lugha ya Kiswahili ili kukikuza ndani na nje ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KILI MARATHON.


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akionesha Nishani aliyopewa mara baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 kwenye mbio za Kili Marathon leo mjini Moshi.

KILI MARATHON 2020: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki mbio za Kili Marathon ( KM 21) mjini Moshi leo. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa nishani na zawadi kwa washindi wa Kili Marathon 2020 leo mjini Moshi.



Na. Aron Msigwa – WMU, Moshi.

Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SINGIDA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UMEME WA REA.


Mashimo ya nguzo yakichimbwa.
Upitiaji wa nyaraka za mradi huo ukifanyika.

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akipitia nyaraka baada ya kukagua mradi wa usambazaji umeme REA II unaoendelea katika wilaya za Iramba, Mkalama, Ikungi na Singida DC. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa REA, Mhandisi Elineema Mkumbo.
Mhandisi Julius Saady kutoka Kampuni ya Kateth Desco Dynamic Engineering Project Cordinator inayotekeleza mradi huo, akizungumzia hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani