Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la hisa Uchina laathiri bara Afrika

Kuporomoka kwa soko la hisa nchini Uchina kunaendelea kuathiri sarafu na uchumi wa mataifa ya bara la Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ulaghai wadaiwa katika soko la hisa Uchina

Huku bei ya hisa zikiimarika nchini Uchina, wasimamizi wa sekta za uchumi nchini humo wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kile shirika la habari limetaja kuwa ulaghai katika soko la hisa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:DSE,Soko bora la Hisa Afrika

Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE nchini Tanzania, limetajwa kuwa soko bora la hisa kuliko yote barani Afrika kwa mwaka uliopita.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Wachangamkie Soko la Hisa la Afrika Mashariki

Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, Emanuel Ng'ui, akizungumza na wenye hisa wa CRDB Bank, katika semina ya uhamasishaji kuhusu matumizi ya Hisa. Mkurugenzi wa CRDB Bank, PLC, Tawi la Lumumba, John Almasy, akizungumza na Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, na Mkurugenzi wa CRDB, Tawi la Vijana, Pelesi Fungo, wakati wa semina hiyo.
Umetolewa Mwito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa ununuzi wa hisa katika soko la hisa la Jumuiya ya Afrika linalotarajiwa...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mauzo ya hisa yayumba Uchina

Mauzo ya hisa katika soko la Hong kong nchini Uchina yametatizika baada ya taarifa ya kutoweka kwa mmiliki wa kampuni kubwa ya uwekezaji

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Swala yaingia soko la hisa


NA MWANDISHI WETUKAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala, imeingizwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), baada ya kukidhi vigezo vya masoko ya mtaji .Swala imekuwa kampuni ya kwanza ya mafuta na gesi kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuingia kwenye soko la hisa. Hafla ya kuingizwa DSE, ilifanyika juzi  mjini Dar es Salaam, ambapo Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,  ambaye alikuwa mgeni wa heshima, alipiga kengele kuashiria uzinduzi wa kampuni hiyo kuingia DSE. Akizungumza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa la Ugiriki lafunguliwa

Soko la hisa nchini Ugiriki limefunguliwa muda mfupi uliopita, baada ya kufungwa kwa miezi mitano.

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni ya Swala yaingia Soko la Hisa

KAMPUNI ya Swala Oil & Gas jana imejiorodhesha rasmi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia mlango wa soko dogo, yaani Enterprise Growth Market (EGM) ambalo ni mahususi kwa ajili ya kampuni ndogo na kati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani