Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania:DSE,Soko bora la Hisa Afrika

Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE nchini Tanzania, limetajwa kuwa soko bora la hisa kuliko yote barani Afrika kwa mwaka uliopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu aipongeza benki ya walimu kujiorodhesha katika Soko la hisa la Dar es salaam -DSE

 Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa kujiunga kwa Benki ya Walimu katika Soko la Mitaji Dar es Salaam mwishoni mwa wikiWaziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amekipongeza chama cha Walimu Tanzania kwa kujiorodhesha katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia benki ya chama hicho kwa ajili ya kuendeleza mtaji wake na kukuza kipato cha wanachama wake.Waziri Mkuu alitoa pongezi hizo alipokuwa akizindua rasmi hatua ya benki hiyo, Mwalimu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa Uchina laathiri bara Afrika

Kuporomoka kwa soko la hisa nchini Uchina kunaendelea kuathiri sarafu na uchumi wa mataifa ya bara la Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Wachangamkie Soko la Hisa la Afrika Mashariki

Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, Emanuel Ng'ui, akizungumza na wenye hisa wa CRDB Bank, katika semina ya uhamasishaji kuhusu matumizi ya Hisa. Mkurugenzi wa CRDB Bank, PLC, Tawi la Lumumba, John Almasy, akizungumza na Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, na Mkurugenzi wa CRDB, Tawi la Vijana, Pelesi Fungo, wakati wa semina hiyo.
Umetolewa Mwito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa ununuzi wa hisa katika soko la hisa la Jumuiya ya Afrika linalotarajiwa...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

9 years ago

Vijimambo

STANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Ken Cockerill akiongea na wa habari kuhusiana na benki hiyo ilivyofanikisha Benki ya PTA kuwekeza amana zenye thamani ya shilingi 32.6bn kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam ambazo zitasaidia kuboresha miundo mbinu ya umeme nchini kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO).mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Mwananchi

Hisa za Benki ya Mkombozi zapaa sokoni DSE

Benki ya Biashara ya Mkombozi imejiorodhesha kwa mara ya kwanza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na kupokewa vizuri licha ya kuzungukwa na wingu zito la sakata la ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

9 years ago

Mwananchi

Benki ya Walimu yachangia ongezeko la mauzo ya hisa DSE kufikia Sh1 trilioni

Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeongeza mauzo kutoka Sh383 bilioni mwaka 2014 hadi Sh1 trilioni moja kwa mwaka jana, huku Benki ya Walimu ikichangia ongezeko hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa la Ugiriki lafunguliwa

Soko la hisa nchini Ugiriki limefunguliwa muda mfupi uliopita, baada ya kufungwa kwa miezi mitano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani