Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Somalia na Sudan Kusini zachapwa 4-0

Timu za taifa za Somalia na Sudan Kusini zilicharazwa 4-0 kwenye mechi za marudiano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia zilizochezwa Jumanne.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Uanachama EAC Sudan Kusini, Somalia kuangaliwa Oktoba

MAJADILIANO juu ya ombi la Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yameahirishwa hadi Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

TheCitizen

Kenya, Rwanda, Sudan, S.Sudan, Somalia ‘most dangerous states’

Three East African countries – Somalia, Sudan and South Sudan – have been named among the top ten most dangerous countries to live in world-wide according to a new report.

 

10 years ago

Vijimambo

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...

 

10 years ago

Michuzi

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni  Mhe. Salva Kiir Mayardit  Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Al-Shabab watwaa mji kusini mwa Somalia

Al-Shabab wanasema wameutwaa mjini wa Janale kusini mwa Somalia ambako wanajeshi wa Muungano wa Afrika waliuawa mapema mwezi huu.

 

10 years ago

GPL

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 25 WAUAWA NA KUJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KUSINI MWA SOMALIA

Watu 25 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu kusini mwa SomaliaDuru za habari nchini Somalia zimeripoti kujiri mripuko wa bomu Jumapili usiku katika mji wa Baidoa, kusini mwa nchi hiyo.Kwa mujibu wa ripoti, bomu hilo liliripuka wakati wa sherehe za Idul-Fitr katika mji huo. Aidha duru za habari zimearifu kwamba katika hujuma hiyo kwa akali watu watano wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa. Hadi sasa hakuna kundi lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo, ingawa inadhaniwa kwamba kundi la kigaidi la ash-Shabab ndilo lililotekeleza jinai hiyo. Kundi la...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Sudan Kusini imeporomoka?

Nchi changa zaidi duniani Sudan Kusini, imeorodheshwa kama nchi ya kwanza yenye hali tete zaidi duniani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maslahi ya UG, Sudan Kusini

Serikali ya Uganda imekiri kuwapeleka wanajeshi wake kusaidia wanajeshi wa Sudan kupambana na waasi wa Riek Machar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani