Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SPANISH CULINARY WEEKEND YA SIKU TATU YAZINDULIWA JIJINI DAR.

Balozi wa Hispania hapa nchini, H.E Felix Costaldes akizungumza wakati wa uzinduzi wa Spanish Culinary week ambayo imezinduliwa Ijumaa usiku  katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Habari Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Balozi wa Hispania hapa nchini, H.E Felix Costaldes akikata keki kuashiria uzinduzi wa Spanish Culinary week iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.Watumbuizaji wakitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa  Spanish...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

MAKALLA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU TATU YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI JIJINI DAR

????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akisalimiana na Afisa Ugavi Mkuu wa Bohari Kuu ya Maji, Datus Bahati mara baada ya kuwasili Bohari Kuu ya Maji wakati wa ziara yake ya siku tatu ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) ambapo aliitimisha ziara hiyo Agosti 27, 2015 kwakukagua miradi iliyopo daraja la mpiji na Kerege na maungio ya maji ya wazo.IMG_2809Naibu Waziri wa Maji, Amos...

 

11 years ago

Michuzi

Wastaafu Loan Yazinduliwa jijini Dar

Katibu Mkuu Kionmgozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayigu(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Sabasaba Moshingi), Wakwanza kulia) na Mstaafu Eunice Temu, wakiwa wamenyanyua juu mikono kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfuko huo kuwakopesha wastaafu amabao ni wanachama wake kupitia benki ya Posta "Wastaafu Loan",. Hafla ya uzinduzi huo ulifantyika jijini Dar es Salaam jana. Katibu Mkuu Kiongozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Paisha yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam

Mgeni rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya Serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure kabisa.

Meneja bidhaa wa Paisha, Godfrey Fataki akizungumzia jinsi...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI MPYA YA SIMU YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni, Ananias Kamundu (wa tatu kushoto), akipata maelezo kuhusu bidhaa za kampuni mpya ya simu za mkononi ya Halotel katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Viettel Tanzania wamiliki wa Halotel,  Nguyen Thanh Quang na wageni wengine waalikwa. Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni, Ananias Kamundu (kushoto), na Mkurugenzi  wa kampuni mpya ya simu za mkononi wa Halotel  Mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

TV 1 Tanzania yazinduliwa rami leo jijini Dar

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Kipya cha Televisheni (TV 1 Tanzania),Marcus Adolfsson akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Southen Sun,jijini Dar es Salaam leo,wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Kituo hicho cha Televisheni kitakachokuwa kikirusha matangazo yake kutokea Jijini Dar na kuonekana nchi nzima.  Watangazaji wa Kipindi cha The One Show kinachorusha na Kituo hicho kipya cha Televisheni(TV 1 Tanzania),Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne wakizungumzia namna...

 

9 years ago

GPL

MAABARA YA KISASA YA TFDA YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkuu wa Maabara ya Mikrobilojia wa  Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Dkt. Adelard Mtenga akitoa maelekezo ya vifaa vya maabara. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Hiiti Sillo akikata utepe kufungua mtambo huo. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Msaada kutoka Marekani, Kelly Hamblin. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya…

 

10 years ago

Michuzi

Doris Mollel Foundation yazinduliwa jijini Dar

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiTATIZO la Vifo vya watoto njiti limezidi kukua kutokana na kukosekana  kwa vitendea kazi katika vituo vya kutolea hudum za afya.
Hayo ameyasema, Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mohamed Thabit Kombo wakati wa kutambulisha Mfuko wa Doris Mollel ambao  utajihusisha katika kusaidia upatikanaji wa vitendea kazi vya hospitali  kwa watoto wanaozaliwa njiti iliyofanyika  katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.amesema atatoa...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani